Mafweza ze don
Senior Member
- Feb 9, 2013
- 148
- 182
huyo sio mpenzi wako chukua time zako, asikupotezee muda maisha ni mali sana. usipoteze muda wako kwa kitu mabacho hakieleweki
Heshima kwenu wana forum ningeomba ushauri toka kwenu kutokana na nina mpenzi wangu lakini kila mara niki hitaji mazungumzo nae ananiambia yuko bize nikikutana nae mahali popote ananiambia ana haraka nifanye nini jamani???
dah but nina mpenda for real
Heshima kwenu wana forum ningeomba ushauri toka kwenu kutokana na nina mpenzi wangu lakini kila mara niki hitaji mazungumzo nae ananiambia yuko bize nikikutana nae mahali popote ananiambia ana haraka nifanye nini jamani???
Hebu fikiria,kabla ya kupata ilikuwaje na baada ya kupata imekuwaje.Sitaki nikukumbushe mbali but naomba unipm ntakwambia kitu.Ahsante kama utafanya hivyo.
nina mpenzi wangu lakini kila mara niki hitaji mazungumzo nae ananiambia yuko bize nikikutana nae mahali popote ananiambia ana haraka nifanye nini jamani???