Mafweza ze don
Senior Member
- Feb 9, 2013
- 148
- 182
Heshima kwenu wana forum ningeomba ushauri toka kwenu kutokana na nina mpenzi wangu lakini kila mara niki hitaji mazungumzo nae ananiambia yuko bize nikikutana nae mahali popote ananiambia ana haraka nifanye nini jamani???