SUA waanza Kulipia cheti cha degree | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SUA waanza Kulipia cheti cha degree

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by rimbocho, Nov 4, 2010.

 1. r

  rimbocho Member

  #1
  Nov 4, 2010
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu nimesikia kile chuo kikuu cha kilimo wanafunzi wameanza kulipia cheti cha degree pamoja na trancript. sana mimi nauliza hii ccm inatupeleka wapi? ada yenyewe hatuwezi kulipa hizo 40% je hivi vyeti si ndio tutamaliza tuwaachie na kazi tusipate ?

  Mungu ibariki TZ
   
Loading...