SUA SELECTION Vs Ze Duduz

Ze duduz ni mkali 2lieni kesho jamvini kila k2 anamwaga pwaaa,k2 cha Sua kinanukia,aaa duduz fanya mchakato kaka!
 
Ila kumbe wa2 mwng anasubr sua ehee... Nahc bado kdogo hako ka chuo che2 cha kudisco kataeleweka wadau
 
sua pa kawaida kama ukienda kusoma lakin ukichanganya mambo mengine umekwisha ...DVC prof. GILLA hachelewi kukunG"oa ila sasa mambp shwari kwani balaza la senate limepitia mapendekezo ya kutowafukuza wanafunzi kwa zile sheria za zamani hvyo sasa hivi ukienda SUA unakuwa na uhakika wa kumaliza.........musiogope kwa msaada zaidi mtifute inbox au PM
 
kabla sijaku-PM embu nambie unakula kozi gani pande Hizo !?
<<< Ze duduz >>>
 
Back
Top Bottom