SUA results out, watu kuliwa vichwa kama kawa!

SUA results out, watu kuliwa vichwa kama kawa!

kwa wale mnaotaka link,hamna link kila mwanafunzi aingie katika account yake ya SUASIS matokeo yapo huko

watu wanajua__adimitted undergraduate 2015-16....��������������
 
Nina jamaa yangu alisomea hapo,matokeo yake yako vizuri sana,hongera zake.
 
Maisha ya hapo sitaki hata kuyasikia tena, naona mwili unanisisimka na nywele kusimama. Kwa ule msoto nilioupata kipindi natafuta BSc
 
na je hawa walio faulu RPL ndo wamemaliza degree SUA?.Tunaomba ufafanuzi kwa wanaofahamu!!.

RPL ni wale walioishia standard 7 na wanaujuzi kazini zaidi ya miaka kumi sona wana special program yao wakifauli vizuri mitihani wanapiga bschelor moja kwa moja
 
Karibuni Sokoine university of Agriculture nipo BSc. Agricultural engineering Third year,wadogo zangu karibuni sana DEPARTMENT OF AGRICULTURAL ENGINEERING & LAND PLANNING ( DAELP )
 
Nahitaj msaada kutoka kwa scholar yyt w SUA what's app me 0719311889
 
Back
Top Bottom