GONZZ EPACLEM
JF-Expert Member
- Dec 3, 2016
- 312
- 240
SUA siwaelewi kwa kweli mimi, wanatoa tangazo la 3rd round wakati tupo mbele zaidi 4th round?
hata hivyo sielewi mfumo wao upoje, NO ANY SELECTION UPDATES KWENYE ACCOUNTS, AU MIMI TU?
MWENYE INFO ZAIDI MSAADA KWALA SUA, kwani sielewi kabisa utaratibu wao