SUA kweli kwenye maabara zenu hamuwezi kubuni dawa kama Butalex? na zingine za mifugo?

Najiuliza kweli hamuwezi kubuni kutoka maabara zenu kwa kutumia miti shamba yetu kutengeneza dawa kama Butalex? hii dawa sasa hivi haipatikani madukani, kuna formulations zenye mapungufu makubwa. Mnakwana wapi na mmejaza maprofesa na MaDr kibao wenye mabooks na madictionary kibao? Litafakari hili please and this goes to dawa zingine za mifugo......
Pesa za tafiti zitoke wapi?wakati pesa nyingi zinatumika kwenye mambo ya siasa?!!halafu wazungu wana kuja na chanjo/dawa anainuka mtz, anasema hao wanataka kutuua tu, watu wametumia mabilioni ya pesa, kufikia hapo!!tz kuna wasomi hapa!!
 
SUA wamefanya tafiti nyingini sana kwanzia kwenye mazao( uzalishaji wa mbegu, madawa, udongo) na wanyama ( madawa, ecology) kupitia Special Project(SP) kwa wanafunzi wa Degree, Masters, na PhD level shida ipo kwenye mfumo yani kivipi izo taharifa za utafiti au matokeo zinamfikia mkulima.

Ebu fikiria kila mwaka wanafunzi zaidi ya 500 wanakuwa wamehitimu masomo yao katika level mbalimbali lakini ili aweze kuhitimu lazima afanye utafiti kutokana na kitu anacho somea kwaiyo tafiti nyingi zinaishia kwa submitted kwenye department then ndo mwisho wake apo

Kwaiyo inabid kuwa na mfumo ambao utakuwa kama daraja ili kuwezesha wakulima kupata ayo matokeo ya utafiti ulio fanyika ( Bridging Technology Gap in Agriculture Development Through Research )
 
SUA is a research institution of higher learning and therefore whatever the case to your question, they are destined to be capable of attempting this!
Sawa lakini nchi yako imewapa kiasi gani kwa ajili ya tafiti?

Au unataka profesa atoe pesa yake mfukoni?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom