The Spirit of Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 7, 2020
- 537
- 928
SUA hawataona huu ni ushauri,ni kweli kwa dunia ya leo kufanya utafiti wa panya sijui atambue nini,ni uzembe wa kiwango cha lami;Kama zipo tafiti nyingine mbona hazisikikii ?? Mimi uwa nasikia panya, panya tu
ningesikia wana-design sensors kwa ajili ya utambuzi wa magonjwa mbalimbali sawa,ila panya hapana;