Style za waendao vyuoni

na sisi tuliosoma ardhi almaarufu kama UCLAS, ma-architect, valuers, land surveyors, environmental engineers, quantity surveyors, uurban planners, tupoje??? Tupe characteristics zetu kaka
18.Wasongo,waliofungiwa katika box,sura mgogoro-UCLAS (ARDGI UNIV).
 
Na sie home schooled katika mambo ya house keeping unatuweka wapi?
 

UDSM ndo vilaza namba moja kwa sasa acheni kujidanganya...pale wasifu ni huu
1.Malaya wakawaida-charity aka kina mama huruma
2.Malaya Proffessional-Prostitutes
3.Mateja
4.wauza Unga wapo pale Mabiibo Hostel never attend lecture
5.Maskini
6.Vilaza-Hii ni sababu kwamba kwa mwaka wa massomo wanasoma miez kama 3-hiyo iliyobaki Migomo.
hizo ni sehemu ya sifa zao..binafsi niliwah kusoma law scul pale jamaa wanajigamba wao ndo mabingwa wa sheria cha ajabu ndo walioongoza kwa kushikwa na ni wachache wale clear cohort ile(5).
Vile vile waliwah kwenda kwenye MOOT Court NIgeria..cha ajabu waliburuzwa vibaya rucco walifanya maajabu(mwaka juz)mwaka jana rucco waliandaa interuniversity moot court UDSM walivyokumbuka aibu ya Nigeria wakagoma kushiriki hatua ya mwisho kabisa...Napinga Rucco kupewa sifa ya watu walokosa sifa na napinga UDSM kupewa sifa zote alizo zilist..sifa za UDSM ndo hizo but mnaweza kuziongezea..........Huu ni mtazamo wana RUCO na UDSM Msinichukie.Hiyo ndo Hali halisi ndo maana watu wenye akili zao hawapeleki watoto wao UDSM..nina ushahidi wa maprofesa na ma lecturer kama 10 hivi wa pale ndani UDSM ambao watoto zao wanasoma huko RUCO,MZUMBE...na vyuo vingine UDSM si chuo tena ile ni CLUB na ngome ya Kisiasa tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu..na mfumo usipobadilishwa itaendelea kuwa hivyo...jaman msibabaike na majina
 

Inaweza kuwa kweli kwani wadada wa UDSM huwa tunaweza kuwaokota mitaa ya Mwenge,Sinza na Mabibo hostel hata kwa bia/soda 1 na nyama choma,na unakula vyombo vizuri tu,lakini wa sehemu kama CBE na IFM lazima asubuhi umtoe na 5000 na kuendelea. Nadhani ka re search ka huyo jamaa kana hold water.
 

Kama ni hivyo basi heri niwepo hapo kwenye namba 17, maana ntaenjoy vyote vya huko juu pamoja na 17 yenyewe
 

Kumtawala mtu mwenye akili inabidi nawe utumie akili. Ukiwa 'mechanical' utapata shida sana, na matokeo yake ndo hayo ya migomo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…