Red Giant JF-Expert Member Mar 9, 2012 15,658 20,889 Jul 6, 2016 #1 kwa tunaoishi maeneo ya baridi (Mbeya, Arusha, Iringa, Njombe nk) scarf mbali ya kukinga na baridi pia inakuongezea swaga. hapa kuna style mbalimbali za kufunga na kuvaa scarf kutoka ties.com.
kwa tunaoishi maeneo ya baridi (Mbeya, Arusha, Iringa, Njombe nk) scarf mbali ya kukinga na baridi pia inakuongezea swaga. hapa kuna style mbalimbali za kufunga na kuvaa scarf kutoka ties.com.
Red Giant JF-Expert Member Mar 9, 2012 15,658 20,889 Jul 6, 2016 Thread starter #3 hii unaweza vaa kama noo 1 au 3.
Red Giant JF-Expert Member Mar 9, 2012 15,658 20,889 Jul 6, 2016 Thread starter #7 unaweza ukazidharau ila hutaamini zilivyo na joto. kwa sehemu kama Dar unaweza funga the the sophisticate ikiwa loose kwa kitambaa chepesi kama hivi.
unaweza ukazidharau ila hutaamini zilivyo na joto. kwa sehemu kama Dar unaweza funga the the sophisticate ikiwa loose kwa kitambaa chepesi kama hivi.
Bavaria JF-Expert Member Jun 14, 2011 53,102 53,357 Jul 7, 2016 #18 Namba 3 katika picha zote ndo zimekaa fresh.
nellysony jack Member Jan 9, 2013 16 2 Jul 9, 2016 #20 Bavaria said: Namba 3 katika picha zote ndo zimekaa fresh. Click to expand... na me nmeona ivoivo