Style za kulala a.k.a milalo na maana zake from Zamaradi

nyumba kubwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
10,309
8,369

Nime copy hii kitu toka kwa Zamaradi




























Hebu angalia hizo picha hapo kwa umakini sana halafu uniambie kuna ukweli wowote katika maana zilizotolewa kwenye hizo aina za ulalaji wa mtu na mpenzi wake!??

Niambie WEWE na YEYE mnahusika kwenye ipi zaidi kati ya hizo hapo juu!!?? na ukiangalia aina yenu ya ulalaji inaendana na jinsi mahusiano yenu yalivyo!!???
 
Kwa culture za wazungu, my answer is Yes. Ila kwa tamaduni zetu watanzania/Waafrika, kulala ni kulala tu ...
 

mi na mama Kayai tunalala vyumba tofauti,mnaoshea rum endeleeni na mjadala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…