Style hii imeshafika bongo jamani?

Vipi na yule katibu mkuu wa ccm anayeng'oa meno ya tembo??

CC. Ritiz
 
Huyo ni ndama au ngombe?Ngombe apakizwe kwenye pikipiki ingepinduka kwa nyuma maana uzito ungekuwa umeelemea kwa mbele lol...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…