Hawa jamaa siwaelelwi kabisa uchezaji wao, nahisi Suarez anaendeleza ubaguzi kambini ndio maana Sturridge hampi pasi
Aisee Amavubi hapa amechemka,sijawahi mwona Suarez anamnyima pasi,ila huyo sturridge mchoyo sana wa pasi.Acha uongo, Sturridge amefunga magoli mengi kutokana na pasi za Suarez.
Hakuna mchoyo kama Starridge ila Suarez huwa anampa jamaa pande za ukweliHuwajui ww unawasikia tu na wala hujawaahi kuona uchezaji wa SAS labda ungesema suarez ndo anabaniwa