Boasting
Being stingy
Jealous
Thinking they are the best
Thinking they are truly loved
They never learn from previous mistakes
Cheaters
Pls don crack over me! This is a personal opinion
Mkuu kuhusu jelous. Naomba nikuulize, wewe unaweza kumruhusu girl friend ama mke wako kutoka out na jibaba mwingine? Au mwanamme awe na mazoea ya kumpigia simu mkeo kisha mkeo anapokea halafu anakwenda kuzungumzia chumbani au sehemu nyingine tu ili wewe usisikie?
n huo ndo ukweliAt some point in life, those "things" have to be applied..otherwise maisha hayataenda..!
Ila wanaume jelous khaa mpaka kero,mtu asitoke kidogo..where are you na nani?kwa dakika ngapi?tuma picha nione!!
Usiombe ukapigiwa simu hata na bussiness patner hee kwa wivu wanaume nawapa salute.
Ngumu hapana siwezi kila Kuna jinsi ya kusolve hizo situations
There are women with such behavior too..
Being Jealous thats normal,if my man aint jealous I'd ask myself twice is he my man or some guy?!!
... Being trully loved,I dont think there's anythin wrong with feelin positive about your lover...
Learning from Mistakes,being stingy,Cheating... No human is perfect,so to some point he'l have one or two of the mentioned..
Ila wanaume jelous khaa mpaka kero,mtu asitoke kidogo..where are you na nani?kwa dakika ngapi?tuma picha nione!!
Usiombe ukapigiwa simu hata na bussiness patner hee kwa wivu wanaume nawapa salute.
Appreciated dear.. Nobody is perfect,people forget that...