Studying Law: UDSM (4 years) while MZUMBE (3 years). why!!!!!

DASA

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
1,031
301
Hi members. Kusoma sheria UDSM ni miaka 4, wakati MZUMBE ni miaka 3. kwanini ipo hivi!!. Au kuna kitu MZUMBE wanakosa ukilinganisha na UDSM!, Tofauti hasa ni nini kwenye Elimu inayopatikana. Maana kinachonishangaza zaidi ni kwamba atakayemaliza MZUMBE miaka mitatu na atakayemaliza UDSM miaka 4 watakuja kuanza wote LAW SCHOOL hapohapo UDSM, sasa mi naona kama kuna kauonevu hapa kwa wale wa UDSM, mwaka mmoja ni mkubwa sana. Inawezekana labda mi kuna kitu sielewi (mi sijasoma sheria). Wanaofahamu hii kitu vizuri hebu wasaidie kutoa utata huu.
 
We tumekushtukia,unataka kuanzsha mpambano wa vyuo humu tena na wakat tushakubaliana mabishano ya vyuo yakome.
 
Nimesoma chuo ambacho kilikuwa affiliated vyuo vikuu viwili: kimoja kilikuwa na programme ya miaka 3 na kingine miaka 4. Mtu akimaliza napata gamba lake bila kuonesha kama ni miaka 3 au 4. Kutokana na experience yangu ni jinsi chuo chenyewe kilivyojipanga ku'cover' syllabus yake kutokana na human and capital resources na pia aina ya courses zinazofundishwa kulingana na mahitaji ya soko. Pengine wengine wana mchango tofauti.
 
We tumekushtukia,unataka kuanzsha mpambano wa vyuo humu tena na wakat tushakubaliana mabishano ya vyuo yakome.

Kwanza ndugu mbona wewe humu JF una siku 3 tatu. Hayo unayosema umeyasikia wapi!, usichanganye facebook na JF. Nway sina huo mpango unaofikilia, hilo ni swala ambalo lipo na linaendelea. na wapo wanafunzi wa UDSM wanaochoshwa na hiyo miaka 4, na kuna wakati UDSM walitaka kufanya miaka 5, lakini sijui ilisitishwa vipi.
 
Kutokana na experience yangu, chuo ambacho kina programme ya miaka 4 au 5, wanafunzi wanasoma bila kufukuzana sana kuliko wa miaka 3. Ni rahisi kwa mwanachuo anayesoma miaka 4 au 5 kufanya vitu vingi zaidi (hata mazoezi) kwa vile atakuwa na nafasi ya kufanya hiki au kile kuliko wa miaka 3. Huyu muda wake unakuwa very tight na hana muda wa kufanya vitu vya ziada. Kwa umri, ambao mtu anajiunga na chuo miaka 4 au 5 ni kidogo sana na inapita as if ni miaka 3.
 
Kwanza ndugu mbona wewe humu JF una siku 3 tatu. Hayo unayosema umeyasikia wapi!, usichanganye facebook na JF. Nway sina huo mpango unaofikilia, hilo ni swala ambalo lipo na linaendelea. na wapo wanafunzi wa UDSM wanaochoshwa na hiyo miaka 4, na kuna wakati UDSM walitaka kufanya miaka 5, lakini sijui ilisitishwa vipi.

tafuta,kuna thread ilikua hapa jamvin juzi ikikataza ligi za vyuo.
 
Watu wengine kama ni wanaume mnaweza mkawa mashoga ndugu yangu. We ukisoma vizuri hiyo mada unaona ni ligi!. suala hapa kwanini ni 3 years, 4 years etc!!!, sio wapi bora wapi sio bora!!. mnatumiia masaburi yenu kusoma au!!. kama hauna la kuchangia pita kimya kimya. hujalazimishwa. sijui tusi gani linakufaa wewe!!, ungekuwa karibu yangu ningekung'atang'ata hayo masikio. Alaaaaaaaaaaah!!!!!!
 
kama co utaahira unakusumbua.hapo me nimeongea nin kibaya?au ndo unataka watu wajue nawe una hasira?ovyo kweli
 
Kama huna la kuchangia ndugu yangu nakushauri upite kimya kimya.
 
Acheni ulimbukeni, you are just criticizing without thinking. The guy has raised a very important and valid question. Kama hamna jibu kaeni kimya. Waache wataalamu wajibu. Hii sio mipasho ya taarabu. This question should go to TCU; why 4 not 3 years? or vice versa? kama kuna quality issue, it should be revealed. Inakuaje mwingine 3 mwingine 4 yrs mwisho wa siku wote wanapata shahada ya sheria. Na huo mtindo wa kutukana watu eti wameuliza maswali yanayohusu vyuo ukome; who are you to stop them? I don't mean to start another debate lakini nataka watu muwe makini na kurespect mawazo ya watu. Hii sio forum ya watu wasio taka kureason, kama ujajipanga kaa kimya, subiri mada unayoijua ujibu. Don't answer ili mradi tu. Heshimu jamii forumn watu wanaitegemea sana kupata taarifa muhimu na kuelimika.
 
hapa kuna kila dalili ya UWALAKINI wa siredi kitakachoishia hapa ni malumbano n nothing new.
 
labda walimu walishindwa mchakamchaka wa miaka mitatu! Kama nakumbuka vizuri hata udsm mwanzoni walikuwa wakisoma miaka 3. Wamebadilisha miaka ya karibuni tu (2000's). Bahati mbaya sikufuatilia sababu za kubadilisha.
 
Back
Top Bottom