Study in Ukraine Universities with ease | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Study in Ukraine Universities with ease

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kimbweka, Mar 8, 2010.

 1. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,609
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Thanks we gonna try for it!
   
 2. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Jamani msije mkalizwa na Wanigeria!Kitu chochote kinachohusika na wanigeria for the moment ni fake hasa kinachohusika na pesa!
  WATCH OUT
   
 3. K

  Kabengwe JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2010
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 242
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wezi hawa, iweje wanigeria washughulike na vyuo vya Ukraine - watch out guys
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,484
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Duh, mkulu unajiingiza kinywani mwa mamba mwenye njaa hivihivi..?
   
 5. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,524
  Likes Received: 573
  Trophy Points: 280
  MSIUVAE MKENGE.

  Nendeni ubalozi wa Ukraine au waandikieni wizara ya elimu ya Ukraine na watawapa msaada zaidi kuliko kwenda na hao jamaa. Mtaliwa mkiwa hai ni uwezekano mkubwa na asilimia ndogo sana watakuwa wakweli.
   
 6. p

  p53 JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 613
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Mkuu Luba post 1 halafu ni ya tangazo la biashara.Embu andika kiswahili kwanza ili tuthibitishe kama wewe siyo mpopo!
   
 7. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2010
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,375
  Likes Received: 1,519
  Trophy Points: 280
  Hawa ni majambanoka.
  Manigeria wanamtandao mkubwa kweli, walivyo wahuni ukipiga namba hiyo atapokea na tena mnigeria, Sasa kwa kuogopa kusitukiwa ameweka kwamba ni ukraine na nigeria.
   
 8. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #8
  Mar 8, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  haya yanapatikana ktk hii website, huyu mtu asisahau kuwa watz utapeli wa hivi tunashtukia mapema sana, kutengeneza wesite km hii ni fasta tuu watu msizuzuke na utapeli huu! of all European countries why Ukraine?the least of mmm!
   
 9. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #9
  Mar 8, 2010
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,375
  Likes Received: 1,519
  Trophy Points: 280
  Kwanza kusoma europe kitu gani, watu watulie home wapige skuli home, labda ikitokea amekosa nafasi home. Lakini ukiniuliza mie wapi mahala pazuri pa kusomea kati ya ugaibuni na home mimi moja kwa moja nitakwambia usijisumbue na mambo ya ugaibuni.Labda tu kwa level ya juu kama Ph.D
   
 10. B

  Bao3 JF-Expert Member

  #10
  Mar 8, 2010
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 318
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kwenye bold hapo.
  Kwanini umesema labda kwa level ya PhD mkuu na sio hizo level za Chini. Inawezekana kuna unalolijua utupe kabla hatujaenda hapo Mzumbe au UDSM kuanza PhD mkuu.
   
 11. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #11
  Mar 8, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0

  May be Mnigeria amempa dada yetu,na anamtumia kupata market Tanzania!
  Hawa watu wameharibu jina la Afrika,unapotembea nchi za Ulaya.

  Whether drugs,fraud na sasa uterrorist(Abdul Muttalab0,hawana cha kusema.
  Nenda Sauz uone drug kings wa Kinigeria!Ni hated people.
  Sijaona movie DISTRICT 9,iliyotengenezwa Sauz,nafikiri ina elezea upopo wao
   
 12. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #12
  Mar 8, 2010
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,375
  Likes Received: 1,519
  Trophy Points: 280
  Mkuu ni mawazo yangu na naomba uyachukulie hivyo.
  Ph.D ktk fani nyingi inahitaji miundo mbinu thabiti ambayo itakusapoti na kukuwezesha ufanye vizuri. Na kingine nachofikiri Ph.D inahitaji wasimamizi ambao wako to date, nahisi sie waafrika ktk vyuo vyetu ukishakuwa prof basi unalizika kiaina , na fanya tafiti nafikiri unaweza kubali kwamba ma Dr na Prof wetu ni passive. Ni hoja tu.
   
 13. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #13
  Mar 8, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Huko nendeni wenyewe bana kwanza wanigeria wapo hapo kati pili ni Ukraine nendeni siku hizi sio ili mradi vyuo manweza kurudi home na kuambiwa mna degree fake
   
 14. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #14
  Mar 8, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,484
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Jamaa naona bado yupoyupo anasubiria mateka waingie kwenye mataruma yake ..Bwa ha ha ha..
   
 15. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #15
  Mar 8, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,484
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Jamaa limbukeni kwelikweli. Anadhania ni wanaija tu ndio waliofuta ujinga? Haingii kingi mtu..Ebo!
   
 16. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #16
  Mar 8, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,484
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Utaprocure viza kudadaki ..Viza ya wapi watu wana-procure kwenye web za uchochoroni :D
   
 17. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #17
  Mar 8, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Si kweli mzee ina maana unataka kulinganisha elimu ya Bongo na ya Harvard, Cambridge, Oxford na vinginevyo? Inategemea chuo gani na nchi gani kaka. Unadhani Dk aliyemaliza Muhimbili anaweza kuruhusiwa kuja kupractice UK?
   
 18. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #18
  Mar 8, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
   
 19. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #19
  Mar 8, 2010
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,375
  Likes Received: 1,519
  Trophy Points: 280
  Mkuu
  Mamo ya udaktari siyaelewi vizuri,nafikiri haya yanategemeana nchi na nchi, nafikiri japo sina uhakika daktari aliyemaliza Cambridge anaweza asiruhisiwe ku-praktsi Ukraine mpaka apasi mitihani yao kadha wa kadha.

  Mkuu kwani tofauti ya Chenge wa Havard na Lowasa wa Udsm ni nini?
  Nafikiri elimu ni ile ile ila kwa bongo inakosa vionjo fulani kutokana na u-passive wa ma lecturer na hata hivyo elimu ya chini kwa vile unaweza fanya vizuri sana kama mwenyewe upo active kwa kudownload pdf na simulators kutoka ktk internet ndo maana nasema hakuna haja ya kwenda Cambridge.

  Ama mzee wewe unaona je?
   
 20. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #20
  Mar 8, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 133
  Mbona mna Unaijeria unaijeria....!!!!????
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...