studio.......

nliwaona hao watu wakipiga picha, ila sikukuona ukiwapiga picha!
Umeipataje iyo picha?
 
ahahahaah!! Nayo ni ya kusubiri dakika tatu tu?
 
No matter where or how,cha msingi mkono uende kinywani!
 
Hawa watu ni wabunifu! Hawana akili mgando!safiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…