Habari zenyu binafsi bana wa jf!samahani kama mada hipo jukwaani tayari lkn by the tym na post ckuiona!tcu wametupia majina ya watu waliokuwa selected na loans zao pia na majina ya watu wenye loan lkn inabidi wafanye veryfication!
unajua maana ya previous loanee mkuu?me nijuavyo ni watu ambao wamewah kupewa mkopo bt wamechaguliwa tena na tcu kusoma bachelor program ndo maana nahc hata heslb watakua wamewaambia wafanye verifications.
me nilivyockia ni kwamba,watu wote waliowah kusoma vyuo kipindi cha nyuma na wameapply tena via Tcu regardless wameomba mkopo tena or not wamewekwa kwenye hli kundi na wamepewa siku 14 kuverify kwa heslb.