Nashauri sisi wazazi tuwape support walimu, kutokana na hali ya maisha ilivyo ngumu wazazi wengi tunajikuta hatupati muda wa kutosha kuwajua vyema watoto wetu (tabia naenendo yao) hivyo basi Mwl ni mlezi pekee ambae tunapaswa tumuamini na kumuheshimu kupitia walimu na Ma house girl zetu ndipo tutaweza kufanikiwa kurekebisha tabia za watoto wetu, sasa kama tunawakataa walimu kuwa si walez bila shaka tutakua tunapotoka sana,Kubwa zaidi Makosa ya Mwl mmoja yasiwe sababu ya kutukana nakuwapa fedheha walimu, kwa halo ilivyo hapa jukwaan ni dhahiri kuna watu wanatoa maneno ya kuchukiza kwa kila anayejitambulisha kuwa ni Mwl. Hii si sawa hata kidogo