strongroom

mm mbona room yenyewe sio strong, yaani cement tu, ningejua locatuion ningeweka ngao kwenye gari langu naingia na huo ukuta nachota nasepa nawaachia na wanachi wajigawie.
 
mm mbona room yenyewe sio strong, yaani cement tu, ningejua locatuion ningeweka ngao kwenye gari langu naingia na huo ukuta nachota nasepa nawaachia na wanachi wajigawie.
Unazoa hizo dola unafika home unakuta kumbe ni za denomination ya dola mojamoja! Nini kitafuata?
 
Hizi hela zilikamatwa na Police wa Colombia kwa mfanyabiashara papa wa madawa ya kulevya wa kichina jina limenitoka ambapo ni takriban dollar million 300, jamaa alijenga eneo kama kanisa [parish] kumbe ndani yeye ndo anakaa na alikuwa anasakwa mda kutokana na kutoroka magereza marakwamara mali zake zote zilipigwa mnada na police wa Columbia waliweka baadhi ya vitu vyake makumbusho ya operation against drug dealers.
 
Unazoa hizo dola unafika home unakuta kumbe ni za denomination ya dola mojamoja! Nini kitafuata?

Mkuu, hata kama zingekua quarters (and in coins) kwa wingi huo bado ni mkwanja wa kufanya kitu cha maana katika maisha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…