Polisi warejesha milioni 17 zilizoibwa benki ya KCB Thika, watuhumiwa 3 wakamatwa

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Polisi wamefanikiwa kurejesha kiasi cha Kshs milioni 17 ambazo zilikuwa ni kati ya milioni 50 zilizoibwa kwenye benki ya Kenya Commercial Bank tawi la Thika Novemba 20

Polisi walifanikiwa kuzirejesha baada ya watuhumiwa watatu kukamatwa

na kuwapeleka wapelelezi kwenda mji wa Juja ambako walikuwa wamehifadhi pesa hizo

Watuhumiwa hao ni Charles Mwangi Murakaru mwenye miaka 30, Halford Munene, 32, Julius Wainaina, 32, watuhumiwa hao watapandishwa kizimbani leo Jumatatu

Watuhumiwa haowalikuwa wamechimba shimo lenye urefu wa mita 30 kwenda kwenye sehemu ya kuhifadhia hela ya benki

Watuhumiwa hao walikuwa wamefungua duka la vitabu karibia na benki hiyo na ndipo walipoanzia kuchimba shimo hilo ambapo hakuna aliyewagundua hadi fedha zilipoibwa wiki iliyopita

======================================================

Police have recovered Ksh.17 million which was part of the Ksh.50 million stolen in the Kenya Commercial Bank, Thika branch heist on November 20, 2017.

The recovery was made after three suspects were arrested at Marurui huko Kiambu Novemba 25 in Kiambu on Saturday, November 25, and led the investigators to Joy Land estate in Juja town where they had hidden the cash.

The suspects were identified as Charles Mwangi Murakaru aged 30 years, Halford Munene, 32, and Julius Wainaina, 32. The three are set to be arraigned in court on Monday, November 27.

The detectives from Thika Police Station recovered Ksh.17,135,000 which was in various denominations including US dollars, pounds, Canadian and Australian dollars.

The amount included 1311 US dollars, 340 Great Britain Pounds, 5 Canadian Dollars, 85 Australia dollars, 46,000 Tanzania shillings, 40 South Africa rand and 20,000 Ugandan shillings.

All the recovered cash was transfered to the KCB headquarters in Nairobi for safe custody.

Breaking instruments were also seized from the house together with various Kenyan national identity cards among other material as investigations into bizarre robbery continue.

In what was described as one of the most daring bank robberies in recent Kenyan history, the suspects dug a 30-metre-long tunnel into the bank’s strongroom in Thika Town and stole more than KSh.50 million.

The tunnel was dug from inside a stall opposite the Thika divisional police headquarters, where the alleged criminals had been running a bookshop, through which they accessed the local KCB branch and made away with the whopping amount.

So concealed was the operation, that no one noticed any suspicious activity until Monday last week when the money was discovered missing by the branch manager, Mr Samuel Ng’ang’a.

On Wednesday, November 22, police recovered the excavator used to dig the tunnel which was 10-feet deep and two-feet wide with metal rails and wood planks to cushion the building from collapsing.

Other items that were recovered included a welding gas cylinder, gas mask, planks of wood for supporting the tunnel, cartons for ferrying the sand, overalls, spirit level, battery and inverter for lighting the tunnel during the heist.

Source: Citizen Tv
 
Kha! Kuna kitu nyuma ya pazia, tangu lini polisi wa Kafrika wakarejesha hela nyingi hivyo bila kukwapua, halafu hao mapoyoyo wangeomba ushauri kwangu jinsi ya kuficha hela, pambavuuuu zao. Walikua wameaga umaskini baada ya kufanya kazi kubwa sana tena ndani ya miezi sita halafu wanajiachia kukamatwa kiulaini hivyo.

Issue kama hii kila mtu anapata mgao wake na kwenda mbele kwa mbele, tena tusiwasiliane, naitumbukiza simu yangu kwenye mtoni na kutoweka, atakayekamatwa hatoweza kuunganisha waliosalia....get your share and vanish, eevrybody for himself/herself.
Chukua mgao wako nenda mbali, labda uende Tanzania milimani kwa wapogolo kaanzishe kabiashara kadogo ka kuzuga.
 
kuna mpumbavu mmoja hawala wa mmoja wa hao jamaa alirekodiwa katapakaza pesa kwenye sofa na nyingine kwenye kiroba

siku zote adam aiingia kwenye mtego wa hawa na samsoni vilevile kwa delila

Screenshot_20171127-160305.png
Screenshot_20171127-160319.png
Screenshot_20171127-160333.png
 
Wangekua polisi wa bongo,kwa sasa wote wangekua wako maji hatari,maana wasingeweza kabisa kuzirudisha, na walivyo na njaa
 
Kha! Kuna kitu nyuma ya pazia, tangu lini polisi wa Kafrika wakarejesha hela nyingi hivyo bila kukwapua, halafu hao mapoyoyo wangeomba ushauri kwangu jinsi ya kuficha hela, pambavuuuu zao. Walikua wameaga umaskini baada ya kufanya kazi kubwa sana tena ndani ya miezi sita halafu wanajiachia kukamatwa kiulaini hivyo.

Issue kama hii kila mtu anapata mgao wake na kwenda mbele kwa mbele, tena tusiwasiliane, naitumbukiza simu yangu kwenye mtoni na kutoweka, atakayekamatwa hatoweza kuunganisha waliosalia....get your share and vanish, eevrybody for himself/herself.
Chukua mgao wako nenda mbali, labda uende Tanzania milimani kwa wapogolo kaanzishe kabiashara kadogo ka kuzuga.
Mkikuyu utamjua tu.
Hata kwenye hiyo list angekosekana Mkikuyu ningeshangaa sana
 
mwaswast
wewe nunda si unakumbuka nilikuambia kuwa US$ 500,000 hard cash ni nyingi sana huwezi kutunza. ona sasa wale nairobers walichanganyikiwa na kuanza kuzipiga picha kisha kuzipost.
halafu wewe ukaanza kusema (huku umebana pua) eti kwa wakenya hizi ni ndogo sana. so unaona sasa ulimbukeni waliokuwa wanaufanya.
 
Hawakuwa na concrete plans kuwa baada ya kufanikisha kupata hzo Pesa nyingi wange Fanya nn??

Wao walilenga kupata Pesa..na kufanya showoff Mtaani kuwa wanapesa.

Hao ambao hawajapatikana wanaweza wasipatikane kabisa..
Labda km watakaa hapo Kenya kwa muda mrefu.
 
Handaki wamelichmba miezi sita, ina maana muda wote huo hawakua na plan yoyote, ni watu ovyo sana. Hela kama hii kila mtu akipata mgao, anatoweka kabisaaa, tena kuanzia hiyo siku sikufahamu...hunifahamu.
Mapolisi pia watakua wamekwapua kila mmoja kitita chake.
 
Kweli eeh? Umesahau kuongeza ndugu zetu wachagga afu uongeze na kabila zote zingine unazozichukia.Kawaida yenu mkiona watu wamefanikiwa lazima wawe wezi. Fanya kazi kijana chuki itakuua.
 
mwaswast
wewe nunda si unakumbuka nilikuambia kuwa US$ 500,000 hard cash ni nyingi sana huwezi kutunza. ona sasa wale nairobers walichanganyikiwa na kuanza kuzipiga picha kisha kuzipost.
halafu wewe ukaanza kusema (huku umebana pua) eti kwa wakenya hizi ni ndogo sana. so unaona sasa ulimbukeni waliokuwa wanaufanya.

Kwa kweli hiyo hela ndogo sana ukizingatia kazi waliyofanya lazima ilihusu timu ya watu wengi kwa miezi sita.
 
Back
Top Bottom