Strong srt 4922a

Strong srt 4922a

VSAT

New Member
Joined
Apr 21, 2015
Posts
4
Reaction score
1
wataalam nimenunua strong receiver srt 4922A,sasa nataka kupata channels za mpira katika eutelsat 7e kupitia channel za aljazeera au irib katika arabsat 5A @ 20'E,nifanyeje wakuu
 
Kaka nenda thread ya juu kabisa jukwaa hili imeandikwa africa satelite world utapata majibu yote.
 
Je wewe ni fundi dish? Kama ndio sema wapi unakosea nitakusaidia na kama huna utaalam na ufundi wa dish nakushauri tafuta fundi aliye karibu atakufungia chochote unachohitaji
 
wataalam nimenunua strong receiver srt 4922A,sasa nataka kupata channels za mpira katika eutelsat 7e kupitia channel za aljazeera au irib katika arabsat 5A @ 20'E,nifanyeje wakuu

tatizo sio kua na rcvr je ni original.? mana io medeli ulio nayo inaongoza sana kwakua fake.

sasa umeshaprove kua ni fake au original.?
 
Back
Top Bottom