strong desire to have sex andi'm a virgin. what do i do?

Kama wewe ni mkristo omba tu Mungu atakuondolea hiyo tamaa kumbuka hakuna zawadi nzuri sana utakayo mpa mmeo siku mkioana kama kukuta na hiyo kitu,kemea hiyo hali itaisha, piga mazoezi na kujikeep busy lakini maombi ni kila kitu na kuendelea na msimamo huo wa kumuogopa Mungu juu ya dhambi ya uzinzi atakupa neema.

ushauri mwingine majina huumba hiyo username yako waweza badilisha kuwa na username yenye matumaini,pia achana kusoma magazati yanayozungumzia mapenzi au picha za pon,kuzungumzia mambo ya mapenzi yanachochea sana hisia.

Ushauri mzuri......nashkuru
 
OK, this will not end just spiritually, looks to me like ni more mentally than it is spiritually, unajua kwanini pamoja na mafundisho yoooote bado tunaaanguka? mentality and psychologically kuna shida, anyway upo shule na ukiwa na boyfriend ataishia kukugonga which will increase a desire to keep doing it,
here is what u should do,
"hurt yourself". I 'll be back

"hurt myself"????!!!
 
ok, kwa umri wako kwanza ninakupa hongera kwa kujitunza na bikra yako hadi sasa....cha muhimu hapo ni kuondoa hiyo hali ya kutaka kufanya ngono kwa upesi namna hiyo kwani unaweza kuangukia pabaya na kupata hata maradhi au mimba ilhali wewe bado ni mwanafunzi....kuwa bize na shule yako kwa wakati huu, haya mambo yapo, utayakuta tu, na Mwenyezi Mungu atakujaalia wa chaguo lako ambaye who knows, akawa mumeo tukaja kula ubwabwa wa harusi inshaallah! kuwa na subira mdogo wangu acha mambo yaende atomatically bila kufosi lolote, Mwenyezi Mungu ni mwema sana na atakufanyia wepesi ktk hili.

Thanxx dada (I assume we mwanamke) lol ushauri wako nimeupenda most especially hapo kwenye subira, tuombe mungu tu inshaallah utaalikwa kula hilo pilau lol
 
Sipati picha huko PM kuna hali gani sasa hivi!!!

Mimi hapa sidhani kama utapata msaada sana, maana watu watakwambia ikimbie zinaa, kitu ambacho ni sahihi kabisa. Ila sasa tatizo ni uwezo wa kujidhibiti maana karibia kila mtu anajua anatakiwa kuikimbia zinaa, lakni uzinzi umetamalaki katika jamii.

Anyway ngoja nijaribu. Sasa mdogo kwanza kuna maswali ya msingi inabidi ujibu, ili tujue tunaanzia wapi, si unajua tena ukitaka kukata mti ng'oa mzizi unakuwa umemaliza tatizo kabisa.
  1. Je kampani yako ni watu wa aina gani? Nakuuliza hivi maana inawezekana unachochewa zaidi na aina ya watu wanaokuzunguka.
  2. Je unapenda kuangalia muvi za ngono? Hizi si nzuri maana zinachochea hisia za kufanya ngono.
  3. Unatumia muda mwingi ukiwa peke yako? Kumbuka kuna msemo "An idle miind is devils workshop"
  4. Je unaamini kuwa bikra ni jambo jema au ni ushamba? Maana watoto wa mjini wanasema ukiwa na bikra ni kwa vile umekosa fursa tu. (cc: lara 1)
  5. Umesema kwamba unataka kufanya ngono ili upate good feeling, nadhani unadhani hivyo kwa kuwa ndivyo unavyosikia rafiki zako wakisema au sio? Kama sivyo tafadhali hebu tuambie ni kwanini unadhani utapata feeling nzuri baada ya kufanya ngono (soma zinaa).
Nasubiri majibu ili twende vizuri.
 
Last edited by a moderator:
so I'm a Christian and my belief is to
not have sex before marriage, but
i'm 22, never had a bf, and having a
strong desire to have sex and it's
getting worse, to the point that i
want to get together with any
random guy and just have sex to get
it over with a feel good. but then i
don't want to compromise my beliefs
so idk what to do!!! idk how to
control these urges because they're
getting really bad. like it sucks...
badly! i need help and some sort of
advice! help me please!!!!!!

you are too young for this..Vumilia tu,utaanza wakivumbua style nyingine za ufanyaji
 
Mhh hongra kwa kutunza bikira!maana mie na umri ka wako!ila idadi ya wanaume niliodate nao wamejaa YUTONG!hahaha
 
There are no such kind of Christians!! Please refer the biblical meaning of Christianity.

there is no definition of christianity in the bible,christians are followers of jesus christ,my question is this,who are real christians and who are not?
 
Mmhhh tusidanganyane unaweza ukawa virgin sawa lkn vidole unajitia na km ni dume punyeto km kawa...dhambi huwa inaonekanaga ukifanya binadamu mwenzio tu......sijui lkn MAYBE
 
hiyo Bikira ya ukweli au kichina?sema ukweli wako!

watu mmeanzisha uzi wenu hum,yeye kakwambia ni bikira?kasema hajawah kufanya mapenz,hajasema km n bikira au la,mnaanza kumpongeza kwa ubikira,nan kasema usipofanya mapenz unakua bikira?
 
Mhh hongra kwa kutunza bikira!maana mie na umri ka wako!ila idadi ya wanaume niliodate nao wamejaa YUTONG!hahaha

kasema wap ni bikra jaman?acheni uongo,yy kasema hajawah kubemendwa nyie mnasema ni bikra,duh!mmetunga mada mpya.
 
Mmhhh tusidanganyane unaweza ukawa virgin sawa lkn vidole unajitia na km ni dume punyeto km kawa...dhambi huwa inaonekanaga ukifanya binadamu mwenzio tu......sijui lkn MAYBE

hajasema yuko vign,msimtungie bnt wa watu,kasema hajawah kufanya mapenz,hajasema km n bikra au la.
 
hajasema yuko vign,msimtungie bnt wa watu,kasema hajawah kufanya mapenz,hajasema km n bikra au la.

Sasa km hajawahi kufanya mapenzi means what.??? Si ni virgin.?????? Kwanza huyu ni muongo ukirefer post zake za nyuma sema tu siwezi kuzikopy anaonekana hana lolote uzushi tu
 
Kama wewe ni mkristo omba tu Mungu atakuondolea hiyo tamaa kumbuka hakuna zawadi nzuri sana utakayo mpa mmeo siku mkioana kama kukuta na hiyo kitu,kemea hiyo hali itaisha, piga mazoezi na kujikeep busy lakini maombi ni kila kitu na kuendelea na msimamo huo wa kumuogopa Mungu juu ya dhambi ya uzinzi atakupa neema.

ushauri mwingine majina huumba hiyo username yako waweza badilisha kuwa na username yenye matumaini,pia achana kusoma magazati yanayozungumzia mapenzi au picha za pon,kuzungumzia mambo ya mapenzi yanachochea sana hisia.

na kama yeye sio mkristo hata akiomba mungu hawez kuondoa,sio??au km yy sio mkristo asijihangaishe kuomba?
 
Sasa km hajawahi kufanya mapenzi means what.??? Si ni virgin.?????? Kwanza huyu ni muongo ukirefer post zake za nyuma sema tu siwezi kuzikopy anaonekana hana lolote uzushi tu

umemgundua?mwambie.
 
umemgundua?mwambie.

Kwanza yuko sijui form 5...anatuletea na maswali yake ya biology tuliyosolve kitambo tukiwa pcb ...hataki hata kusumbua akili...I love those days whn I was in school..sijui na necta atakuja kuuliza jf....
 
Back
Top Bottom