Last wiki kuna kisa kilitokea huko wanandoa waligombana shambani baba akamfyeka mama mkono wa kushoto na panga ukakatika kabisa mama naye hakukubali naye akamfyeka baba mkono wa kulia ukakatika wote sasa wanauguza vigutu nchini Kenya wametoroshwa na wanandugu kukwepa mkono wa sheria
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.