beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 525
Nimetoka bila bila.
whenever imku stressed up i do crying alot, chillin all alone n jus to think about me, ido alot of be quite jus to watch over some peeps talking. Wat about u guys what do u do to be free from stressed situation.
Nimetoka bila bila.
hahahahaha mkiwezeshwa mtaweza..
Junior. Cux ulikuwa umefichwa wapi?
me hutafuta mahali ambapo naweza kusinzia hata kwa dk5 tu. kama hakuna naondoka sehemu ya tukio kwa muda then narudi. nkirudi nakuwa normal kabisa!
Utawekwa msukule we chezeya tuu visiwa shaurirooacha tu.. hizi bthday zingine.!! nlipelekwa visiwani uko nkakumbuswa kudeka..
ningekua na uwezo ningekunywa ata pombe mi npunguze mawazoo, mchana kutwa ata usiku silali.... op mpaka hapo utakua emenielewa wangu beibe nasty
Ndo nin hiyoo bilabila kwan ukikua unamashindano labda? Coz kama we mtu mzima ujue kuuliza si ujingaNimetoka bila bila.
hii nimeipenda nami nitakua naitumia hii saname hutafuta mahali ambapo naweza kusinzia hata kwa dk5 tu. kama hakuna naondoka sehemu ya tukio kwa muda then narudi. nkirudi nakuwa normal kabisa!
Eat and Eat and Eat and Eat.
napiga gitar,naogelea,nacheck movie,naenda kuzurura yakishindikana yote haya basi hua naenda kwa nimpendaye
dis one is one of the stress symptomps eatin eatin eating bt ts not the solution mayb lakinukiudhiwa mwezi mzima si utakuwa boooonge?
Mie nakunywa maji mengi hunisaidia kushusha hasira
Ithink this is still a guud idea coz i actually do smtmsMi nafungulia muziki sauti kubwa basi,inatuliza kidogo