Stress hazipunguzwi kwa kuchepuka

Stress hazipunguzwi kwa kuchepuka

That's true....lakin chanzo cha tatizo nn??? Tusitafute solution sweety Miss Neddy tupambane na chanzo

Kama upo kwenye relationship fanya yanayohusu
Love as u will never love
Care as u will never care anyone else
Sex as ndo mwisho Wako
Fanya mambo yote muhimu kwa Moyo Wako na kwa upendo ..sio unasema eti Nampa kidogo Mara namtest ndo hayo mwishowe anaamua kuchepuka

Kuchepuka Kuna mawili kupata kimeo had unatakaman kumwambia mpenzio
Au kuchepuka na ukakatana na mhanga mwenzio ukapata tulizo la roho na ukajilaumu ulikuwa wapi agrrrrrrr

Kikubwa tujitambue pind ukianza uhusiano tambua WAJIBU WAKO KWA MWENZIO NA TIMIZA HILO.uvumilivu na busara yahitajika Sana kwenye mahusiano

Btn miss u much miss neddy
Nimeupenda ushauri wako hasa hapo kwenye kusex[emoji6]
Ila pia nimekumiss sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom