Stress hazipunguzwi kwa kuchepuka

Stress hazipunguzwi kwa kuchepuka

umeona eeeh ni wachache sana haswa wanaume ndo wanaongoza kwa kuchepuka ukimkorofisha anatafuta tulizo looh
Hawawezekanagi hao na wala sio wa kushindana nao.

Wanawake tukiwa kama walezi wa familia inatupaswa tuzidi kupeana elimu ya kutosha mana mwisho wa siku wanaoathirika ni watoto.
 
That's true....lakin chanzo cha tatizo nn??? Tusitafute solution sweety Miss Neddy tupambane na chanzo

Kama upo kwenye relationship fanya yanayohusu
Love as u will never love
Care as u will never care anyone else
Sex as ndo mwisho Wako
Fanya mambo yote muhimu kwa Moyo Wako na kwa upendo ..sio unasema eti Nampa kidogo Mara namtest ndo hayo mwishowe anaamua kuchepuka

Kuchepuka Kuna mawili kupata kimeo had unatakaman kumwambia mpenzio
Au kuchepuka na ukakatana na mhanga mwenzio ukapata tulizo la roho na ukajilaumu ulikuwa wapi agrrrrrrr

Kikubwa tujitambue pind ukianza uhusiano tambua WAJIBU WAKO KWA MWENZIO NA TIMIZA HILO.uvumilivu na busara yahitajika Sana kwenye mahusiano

Btn miss u much miss neddy
 
yani sana wanaoumia ni watoto mwisho wa siku
 
miss u too.dear wote waisome hii change ni ni mimi na wewe
 
Mwanamke anapokuwa na gubu saa zote maneno maneno ukirudi nyumbani inakuwa shida kubwa, hata tendo hulifurahii..ukimaliza kutatua kesi moja inakuja nyingine stress juu ya stress
ukishatambua tatizo tafuta namna ya kumsaida ikibidi ongea nae akiwa ametulia
 
Sasa mimi napostije kwa mfano ktk hii thread msaada kwenye tuta.
 
Mwanamke anapokuwa na gubu saa zote maneno maneno ukirudi nyumbani inakuwa shida kubwa, hata tendo hulifurahii..ukimaliza kutatua kesi moja inakuja nyingine stress juu ya stress
sasa kwanini unakaa naye kama tayari suluhisho ni kwenda kwa mwingine... maana ukirudi mambo ni yale yale sio kwamba kuchepuka kwako kumeondoa gubu.. si uhamie tu huko!
 
Kwa mchepuko sihamii, mke wangu bado nampenda
 
That's true....lakin chanzo cha tatizo nn??? Tusitafute solution sweety Miss Neddy tupambane na chanzo

Kama upo kwenye relationship fanya yanayohusu
Love as u will never love
Care as u will never care anyone else
Sex as ndo mwisho Wako
Fanya mambo yote muhimu kwa Moyo Wako na kwa upendo ..sio unasema eti Nampa kidogo Mara namtest ndo hayo mwishowe anaamua kuchepuka

Kuchepuka Kuna mawili kupata kimeo had unatakaman kumwambia mpenzio
Au kuchepuka na ukakatana na mhanga mwenzio ukapata tulizo la roho na ukajilaumu ulikuwa wapi agrrrrrrr

Kikubwa tujitambue pind ukianza uhusiano tambua WAJIBU WAKO KWA MWENZIO NA TIMIZA HILO.uvumilivu na busara yahitajika Sana kwenye mahusiano

Btn miss u much miss neddy
Asante kwa ushauri ulioenda shule miss ICHANA, btw imemisika[emoji12]
 
Ndiyo mana asilimia kubwa ya wanandoa ndiyo wanaongoza kulea virus vya magonjwa nyemelezi,

Ni kutokana na ubabe plus stress, wakija kukaa sawa tayari wanalo le ukimwiiiizz
 
Dawa ni nini?

manake hata pombe inasemwa sio dawa ajabu hadi madaktari sometimes hushauri mtu anywe kidogo
dawa ni kupiga punyeto kama mimi hakikisha kila siku huna nyege yoyote ili usimpende mtu yoyote
ingia kwenye mahusiano ukiwa tayari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom