Stress free zone

fulu kinyulaa...hujajuaga tu!?nakuvutia picha!nikirudi bongo ww ni Migirooooo!umetisha!

ninatoa kawimbo kangu kwa wajili ya kale kachicken-spring kalioko jela!unakajua shem?
Sikujua shem wangu kumbe mie kwa ukwe ee! Rejao wangu hakukosea atii!

BTW,hako kaliko jela mboa sijakajua mwenzio!!!
 
Last edited by a moderator:
Si unaona ?
Nnavyovijua vilivyo bihaindi ze katen ?
Sasa sijui itakuaje namie kiwanja changu kipo within 60 meters around the beach !
Hahaha hahha,
Usijali kuna kijisehem kule mabwe pande ntakupatia ukajihifadhi maana niko kikazi zaidi sina masihara kbs lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…