Jamani! Watu wana dhambi sana!
Kama mimi najifanya nina pepo linataka king robert ghafla.[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimeipenda zaidi ya kwenda ukweni wakati ulijitambulisha mlokole.
"Ptu" yan MBITIYAZA unatema kabisa mboga ilonikuza? Daahjaman nimecheka hii ya mtoto kwenda usukuman anakutana na mamilenda haaaaaaaa katika mboga zilizonishinda ni hizo aisee ptu
"Ptu" yan MBITIYAZA unatema kabisa mboga ilonikuza? Daah