Madama gashimba
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 321
- 118
Very inspiring, upendo wa kweli hautabakali
Nahisi ulitaka kuandika "hautakabali", right?Very inspiring, upendo wa kweli hautabakali
Wanasukumwa sana na moyo wa huruma.Kuna dada mmoja huku kwetu naye aliolewa na mlemavu. Marafiki zake walipomwuliza mbona hivyo, akawajibu: 'Sasa jamani nani atamtunza huyu kama ataishi peke yake?'![]()
Aisee,kuna Wanawake wana Li-moyo.!
Mmmh,au huyo hapo chini ni mtoto wao?
Hah hah hah kaboom jaman embu muache shemeji yangu wa tusiime,ela ina nguvu sana wacha kabsaHuyo bwana harusi ana kazi gani..Asije akawa ndo mwenye shule za Tusiime
Mwacheni dada wa watu , mwenzetu hapo anauhakika kupata penzi 100% no uke wenza wala kupata usumbufu wa vimichepuko kusumbua ndoa yake,
Teh teh..Kumbe ni shemeji yako yuleHah hah hah kaboom jaman embu muache shemeji yangu wa tusiime,ela ina nguvu sana wacha kabsa
Ndiyo we kaboom ila hata mdada anapenda maisha ya juu ndiyo maana ameenda ila hana upendo kabisa kiasi kwamba amejitoa kwenye mitandao yote ya kijamii baada ya harus yake kuwa gumzo sizan kama watadumu maana mdada ni mjanja kinoma,,c unajua watu siku iz tunakamata fursa na ulaya alipelekwa kusoma masters sisi wa kuangalia muonekano sijui tutakula huo muonekano hah hahTeh teh..Kumbe ni shemeji yako yule
Teh teh..Mawifi mmeshaanza zogo...Ebu mwacheni mtt wa watu ajilie vyake...Na we si ukamate fursa..Muonekano waachie watt wa secondary tehNdiyo we kaboom ila hata mdada anapenda maisha ya juu ndiyo maana ameenda ila hana upendo kabisa kiasi kwamba amejitoa kwenye mitandao yote ya kijamii baada ya harus yake kuwa gumzo sizan kama watadumu maana mdada ni mjanja kinoma,,c unajua watu siku iz tunakamata fursa na ulaya alipelekwa kusoma masters sisi wa kuangalia muonekano sijui tutakula huo muonekano hah hah
Hujafa hujaumbika...![]()
Aisee,kuna Wanawake wana Li-moyo.!
Mmmh,au huyo hapo chini ni mtoto wao?
Kama unatumia jf app...updateHIVI picha kutofunguka huwa kunasababishwa na nini?