Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,976
- 142,209
Ikijitokeza nyomi kama ile ya Tahrir Square, funga kazi.That’s correct, inahitajika namba ku occupy key area, eg city centre au state house. Mambo ya kwenda kusalimia certain individuals yatatutoa kwenye reli and we will lose.
The reality is we don’t have the numbers yet, na hakuna namna ya kuorganize vizuri sababu mawasiliano yamekua limited.Numbers will be the ultimate decider on whether this unprecedented uprising succeeds or fails.
Katika huu muktadha, ninaamini katika ile idiom ya strength in numbers.
Kilichotokea jana na leo hakijawahi kutokea nchini.
Pia, kimewashangaza watu wengi, mimi nikiwemo.
Hata majirani zetu wa huu ukanda wa Afrika Mashariki nao wameshangazwa maana hata wao walikuwa hawaamini kama Watanzania wanaweza kujitokeza kwa namna walivyojitokeza.
Kitu ambacho nakiona kinaweza kukwamisha hii uprising, ni idadi ya watu wataojitokeza kuandamana.
Mpaka sasa idadi ya waliojitokeza si kubwa kivile ukilinganisha na population yote ya Tanzania.
Idadi iliyojitokeza, kwa mtazamo wangu, haitoshi kuweka shinikizo ambalo litaleta mabadiliko ya kweli.
Kwa mfano, hapo Dar sidhani kama waandamanaji walifika hata laki moja.
Huko kwingine nako hivyo hivyo tu.
Idadi yao ni ndogo lakini kelele zao ni kubwa.
Hapo Dar wakijitokeza hata watu milioni moja, kwisha kazi.
Si jeshi la polisi wala JWTZ wenye ubavu wa kuwazuia raia milioni moja waelekeao ikulu ya Dar. Hawawezi kuzuia nyomi kama hiyo.
Huko mikoani nako huhitaji idadi kubwa kivile.
Pata picha Mwanza wanajitokeza watu laki nne hapo mjini. Nani atawazuia?
Polisi hawana risasi wala mabomu ya kutosha kuzuia idadi kama hiyo.
Hapo Dodoma mjini watu laki mbili tu wakiandamana kwenda kuichukua ikulu yao, hakuna wa kuwazuia.
Katika idadi ya takriban watu milioni 70, idadi iliyojitokeza ni ndogo sana kuweza kuwaondoa CCM.
CCM, kwa kuangalia idadi ya watu iliyojitokeza, wanaamini wanaweza ku weather the storm na kuendelea kubaki madarakani.
Hao watu walipaswa kuwa overwhelmed na nyomi za uhakika.
Dar ina watu wangapi? Milioni 5 au 6?
Kati ya hao wangepatikana hata milioni moja na ushee hivi, sasa hivi tungekuwa tunabubujikwa na machozi ya furaha tu.
Sijui kama hilo litatokea. Bado muda upo lakini. Hivyo tutaona itavyokuwa.
Kikwazo kikubwa [ambacho ni uoga] kimeshavukwa.
Sasa hivi kilichobaki ni critical mass tu.
Ikifikiwa hiyo, CCM kwisha habari yake.
Tutashinda hata kama mlituita keyboard warriorsPia, kimewashangaza watu wengi, mimi nikiwemo.
We have the numbers. They’re just not mobilized yet.The reality is we don’t have the numbers yet, na hakuna namna ya kuorganize vizuri sababu mawasiliano yamekua limited.
Wakirudisha mawasiliano, maandamano yataanza upyaThe reality is we don’t have the numbers yet, na hakuna namna ya kuorganize vizuri sababu mawasiliano yamekua limited.
That's why I said "yet"We have the numbers. They’re just not mobilized yet.
Na mawasiliano wala siyo ishu.
Watu wanaweza kugongeana hodi na kutoka.
Hata huko Tahrir Square nako walikuwa wanazima mawasiliano ya kieletroniki lakini hiyo haikuwa kikwazo.
Wanajeshi wa Tanzania kuwategemea ni kuji set up na kuwa disappointed tu.That's why I said "yet"
Mobilization bado haijawa sawa na nafikiri jeshi kutotoa support leo imepunguza ari kwa waliokua wanaamini jeshi liko upande wao.
Facts 💯Wanajeshi wa Tanzania kuwategemea ni kuji set up na kuwa disappointed tu.
I know, ila people are convinced JWTZ will be their way out.I’m telling you guys, JWTZ are the dumbest people in the country.
Nadhani kuwa na maandamano sehemu tofauti tofauti ilikuwa strategy nzuri sana, kwa kuanzia. Inawa-stretch police. As days go by, number ya protesters itazidi kukua hadi ifikie size inayotosha kwenda kuikamata Ikulu kirahisi. Struggles za aina hii sometimes hudumu kwa zaidi ya week moja!Numbers will be the ultimate decider on whether this unprecedented uprising succeeds or fails.
Katika huu muktadha, ninaamini katika ile idiom ya strength in numbers.
Kilichotokea jana na leo hakijawahi kutokea nchini.
Pia, kimewashangaza watu wengi, mimi nikiwemo.
Hata majirani zetu wa huu ukanda wa Afrika Mashariki nao wameshangazwa maana hata wao walikuwa hawaamini kama Watanzania wanaweza kujitokeza kwa namna walivyojitokeza.
Kitu ambacho nakiona kinaweza kukwamisha hii uprising, ni idadi ya watu wataojitokeza kuandamana.
Mpaka sasa idadi ya waliojitokeza si kubwa kivile ukilinganisha na population yote ya Tanzania.
Idadi iliyojitokeza, kwa mtazamo wangu, haitoshi kuweka shinikizo ambalo litaleta mabadiliko ya kweli.
Kwa mfano, hapo Dar sidhani kama waandamanaji walifika hata laki moja.
Huko kwingine nako hivyo hivyo tu.
Idadi yao ni ndogo lakini kelele zao ni kubwa.
Hapo Dar wakijitokeza hata watu milioni moja, kwisha kazi.
Si jeshi la polisi wala JWTZ wenye ubavu wa kuwazuia raia milioni moja waelekeao ikulu ya Dar. Hawawezi kuzuia nyomi kama hiyo.
Huko mikoani nako huhitaji idadi kubwa kivile.
Pata picha Mwanza wanajitokeza watu laki nne hapo mjini. Nani atawazuia?
Polisi hawana risasi wala mabomu ya kutosha kuzuia idadi kama hiyo.
Hapo Dodoma mjini watu laki mbili tu wakiandamana kwenda kuichukua ikulu yao, hakuna wa kuwazuia.
Katika idadi ya takriban watu milioni 70, idadi iliyojitokeza ni ndogo sana kuweza kuwaondoa CCM.
CCM, kwa kuangalia idadi ya watu iliyojitokeza, wanaamini wanaweza ku weather the storm na kuendelea kubaki madarakani.
Hao watu walipaswa kuwa overwhelmed na nyomi za uhakika.
Dar ina watu wangapi? Milioni 5 au 6?
Kati ya hao wangepatikana hata milioni moja na ushee hivi, sasa hivi tungekuwa tunabubujikwa na machozi ya furaha tu.
Sijui kama hilo litatokea. Bado muda upo lakini. Hivyo tutaona itavyokuwa.
Kikwazo kikubwa [ambacho ni uoga] kimeshavukwa.
Sasa hivi kilichobaki ni critical mass tu.
Ikifikiwa hiyo, CCM kwisha habari yake.
Nimesikia Mkunda kaongea ila sijui kasema nini. Knowing him, itakuwa ni pumba tu 😀.Facts 💯
I know, ila people are convinced JWTZ will be their way out.
kaongea wapi? huku online sioni!Nimesikia Mkunda kaongea ila sijui kasema nini. Knowing him, itakuwa ni pumba tu 😀.
Kwenye mapinduzi ya kiraia, defense forces huwa hazikimbilii kufurusha watawala. Huwa zinaingilia kati baadaye sana kutanzua stalemate inayoweza kutumbukiza taifa kwenye civil war. Fuatilia struggles zote za aina hii elsewhere. Majeshi hayakuchukua hiyo extraordinary step mwanzoni mwanzoni.Wanajeshi wa Tanzania kuwategemea ni kuji set up na kuwa disappointed tu.
I’m telling you guys, JWTZ are the dumbest people in the country.
Kaongea kwenye moja ya hizo stesheni za TV.kaongea wapi? huku online sioni!