quimby_joey
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 391
- 175
Hizi kazi watuachie sisi wenyewe. Nikimkuta kama huyu anayeingilia profession za watu namnyanyua yeye pamoja na hako ka-weight kake na kumrusha mita 50.
Huyu bwana anajua kwamba ma Dr wamegoma? kama haitoshi akichafua hali ya hewa je?