STRATEGIS Wana huduma mbovu sana

123

Member
Feb 16, 2011
82
9
Inaonyesha kampuni ya Strategis imeshindwa kazi au ni wateja wamezidi,ukitaka kwenda kung'oa jino kwakutumia card yao ni lazima Doct anaye ku examine wa fax kwanza bill kwa strategis then wakisha approval ndo urudi tena hosp kwa kung'oa,inaweza kuchukua hata siku mbili na zaidi,sasa fikiria maumivu ya meno then unatakiwa kusubiri approval kutoka strategis.Na kuna baathi ya dawa doct akikuandikia unakuta kwenye sysyem yao hakuna,ni hivyo hivyo hata ukitaka miwani,Mbaya zaidi system yao ni mbovu kuliko ukipeleka kadi yako dirisha ili iwe registered utalia inachukua zaidi ya dakika 30 just kuingiza kwenye system.Kwa ufupi huduma yao ni mbovu sana.Sijuwi mnalionaje hilo wadau!
 
TStrategies ni takataka kabisa na unaweza hata kupoteza ndugu au hata uhai wako ukiwategemea

The guys are just cr@p na sielewi kwanini
 
I was about to buy a medical insurance cover
Yesterday i received three quotation from different companies and i thought the cheapest one is from Strategies and now u are telling me they are not good.

Saas mnishauri ninunue kutoka kampuni gani?
 
The best kampuni ni AAR kwasababu kwanza ni international,ukienda Kenya,Uganda,Rwanda,UK na nchi nyingine unaweza kutumia hiyo card,then hakuna sheria nyingi kama za Strategis,then inafuatiwa na Momentum wanakuja juu vibaya.Lkn lengo la kuwa na card ni kutibiwa popote na hospital yoyote mzuri so km card haitakusaidia kwa hilo then haifai.
 
Sitaki kupinga hayo unayoyasema lakini huo mpango wako wa strategis unahusisha huduma za kinywa na meno?
 
I was about to buy a medical insurance cover
Yesterday i received three quotation from different companies and i thought the cheapest one is from Strategies and now u are telling me they are not good.

Saas mnishauri ninunue kutoka kampuni gani?

Usijaribu Utajuta kuijua,

Na kumbe ndio maana Makampuni mengi mjini yana kimbilkia huku? CHEAP!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mie nina Card ya AAR premier hadi sasa nina miaka miwili sijawahi kuitumia ila nadhani huduma zao zitakua nzuri. hao strategies kuna jamaa zangu waliajiriwa hapo kama counselors kwa ajili ya kutoa counseling online nikajua jamaa wapo vizuri
 
wacheni maneno yenu mabovu, sasa wewe unategemea nn eti kwa kuwa una cover ya strategis ndio mnajilundika hospital moja tu Aghakan unategemea nn utakaa kwenye Q hadi ulie nenda hospital nyingne, Je nn maana ya Insurance?. umemaliza benefit yako una taka kutumia ya nani au ndio kusema una benefit ya USD 100 ya dental na umesha utilize ur benefit una taka kuendelea kutumia eti kisa una bima ya afya. :teeth:
 
Na mimi naongezea hawa jamaa wako safi na wanarespond haraka, majuzi kuna mwanabima mmoja alipata ajali wakitoka Loilondo kwa Babu na familia yake, walifuatwa na helicopta ya kukodiwa na Strategis baada ya kuwapigia simu zilizo kwenye kadi zao mara moja !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom