Strabag phase III: Kiama cha parking Kariakoo chaja


Kila kitu wamejenga kwa specification za mabasi yatakayotumika. Mabasi ni LHD hivyo milango ya abiria iko kulia! Lilikuja moja dogo la majaribio LHD mlango wa abiria uko Julia watu wakaponda eti wamekosea kumbe wao ndio hawajui specs!
F
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…