Str4922

Str4922

Ilisolokobwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
1,861
Reaction score
828
Baada ya kuadimika kwa bidhaa hii maarufu,sasa ipo sokoni.kama mjuavyo sasa ukiwa na rcv hii utaweza kutazama chanel mbalimbali nzuri zilizofungwa kwa mfumo wa power vu.
Pm haraka nikuuzie rcv hii kwa bei poa kabisa.pia fungua uzi huu ili kuifahamu str4922 www.jamiiforums.com/tech-gadgets-an...2-decoda-bora-kwa-fta-television-chanels.html
(vilevile waweza kujifunza hapa juu ya power vu

Power vu ni nini?
PowerVu ni encrypt CAS programs ambayo inafungwa kukuzuia mtumiaji kuona channel bure.
Mfano; irdeto encrypt cas program ambayo wanatumia dst* kufunga channel zao ili uone unahitaji key zifunguke au card yao ili uone.

Mfumo huu wa power vu ndo mpya channel nyingi zinafungwa kwa kutumia mfumo huu, ili uone channel bure unahitaji key.

Mfano wa key ni kama vile tunavyoweka biss key.

Without network sharing, without payment and you can watch all PowerVu encrypt CAS programs kwa kutumia key ambazo zinapatikana bure pindi tu pale tuzipatapo.

Kuna aina nyingi za receiver ambazo zina mfumo wa kutumia power vu.

Strong 4920, 4922, 4922a
Strong 4940, 4930
Open box v8 combo
Skye box g11
Dream box
Skye v 8
Open box z 5

Kama sijataja receiver uliyonayo basi ujue haina uwezo wa kuwekwa power vu kwa sasa.

Kuna channel nyingi sana ambazo zinafunga kwa mfumo wa power vu zikiwemo za soccer kwa wapenzi wa mpira, kuna za movie, wanyama, documentary, habari, watoto nk tena zikiwa katika ubora wa hd ili mladi uwe na dish husika pamoja na receiver inayo support power vu.

Kumbuka tuna mafundi wanaoweza kuseti lnbf 4 kwa pamoja katika dish moja la ft 6 ukapata satellite 4 kwa pamoja.

List za satellite zenye channel za power vu

1. Intelsat 64 e
2. Intelsat 68 e
3. Nss 12 57 e
4. Apstar 76 e
5. Intesat 66 e

Hizi zote zinafika tanzania nzima kwa dish saizi ft 6 na lnbf ni c band.)
 

Attachments

  • 1442591259121.jpg
    1442591259121.jpg
    49.3 KB · Views: 117
Back
Top Bottom