Sio bure umetumwa stevoh! Madame B waambie watuache CC yetu aah! Wote wanakaribishwa CC tena bila masharti sasa chukisijui inatoka wapi?Bhana eee kila nikiingia chitchat nakutana na story za malovee sasa sijui kuna watu wanapigwa BAN kimajukwaa au??
Hizi stor zilitakiwa ziwepo jukwaa la MMU lakini zimejazana humu sasa nawaomba MODS wasaidie kuzimuvuzisha huko.
Alafu hivi kwanini ni story zinazomuhusu Madame B tu kwani wengine hawapendeki?? Pia akitoka huyo anafata sijui wanamwita Cacio naye nimeona siredi zake inamaana jukwaa la MMU Halipo.??
Mapendekezo;
-either jukwaa la MMU lifungwe!!
-either siredi zote za mapenzi zihamishiwe MMU
-AU watokee watu wengine wanaopendwa sio tuliowazoea tuu
-AU tuanzishe spesho sired kwa ajili ya wanaoexpres malovee yao hapa chitchat.
Nawasilisha.
Kwani lazima uingie chitchat. Mapenzi yana run dunia
Ukiwa Chit Chat hakuna rangi utaacha kuona...hivi nikikuambia kuwa huyu Madame B katika maisha ya kawaida ni mke wangu wa ndoa, utaamini au utakataa??...mbona mie mwenye mke nipo kimyaaaa domo nimelitia plastaaa wakati madogoo kina Chilli, tedo Loya na yule Chimbuvu wanaruka samasoti hapa wakati wamevaa misuli...
Mbona mie nimempenda ummu kulthum husemi???au kwa kuwa baba mkwe kanyimwa dhamana??
Mara ngapi?? Au kwa kua sijaliweka wazi?? Sijajipanga kupigwa au kupigana na watu wa humu wanavyojua kupenda utazani umewamwagia ***** wa kupenda!