stevoh
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 2,921
- 1,104
Bhana eee kila nikiingia chitchat nakutana na story za malovee sasa sijui kuna watu wanapigwa BAN kimajukwaa au??
Hizi stor zilitakiwa ziwepo jukwaa la MMU lakini zimejazana humu sasa nawaomba MODS wasaidie kuzimuvuzisha huko.
Alafu hivi kwanini ni story zinazomuhusu Madame B tu kwani wengine hawapendeki?? Pia akitoka huyo anafata sijui wanamwita Cacio naye nimeona siredi zake inamaana jukwaa la MMU Halipo.??
Mapendekezo;
-either jukwaa la MMU lifungwe!!
-either siredi zote za mapenzi zihamishiwe MMU
-AU watokee watu wengine wanaopendwa sio tuliowazoea tuu
-AU tuanzishe spesho sired kwa ajili ya wanaoexpres malovee yao hapa chitchat.
Nawasilisha.