Story za mapenzi...

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
Bhana eee kila nikiingia chitchat nakutana na story za malovee sasa sijui kuna watu wanapigwa BAN kimajukwaa au??
Hizi stor zilitakiwa ziwepo jukwaa la MMU lakini zimejazana humu sasa nawaomba MODS wasaidie kuzimuvuzisha huko.
Alafu hivi kwanini ni story zinazomuhusu Madame B tu kwani wengine hawapendeki?? Pia akitoka huyo anafata sijui wanamwita Cacio naye nimeona siredi zake inamaana jukwaa la MMU Halipo.??
Mapendekezo;
-either jukwaa la MMU lifungwe!!
-either siredi zote za mapenzi zihamishiwe MMU
-AU watokee watu wengine wanaopendwa sio tuliowazoea tuu
-AU tuanzishe spesho sired kwa ajili ya wanaoexpres malovee yao hapa chitchat.

Nawasilisha.
 
Mbona mie nimempenda ummu kulthum husemi???au kwa kuwa baba mkwe kanyimwa dhamana??
 
Last edited by a moderator:

Sio bure umetumwa stevoh! Madame B waambie watuache CC yetu aah! Wote wanakaribishwa CC tena bila masharti sasa chukisijui inatoka wapi?
 
Last edited by a moderator:
mkuu stevoh ukiona malovee chit chat jua kuwa ni malovee ya kichit chat zaidi na sio reality dats y mods wameziacha huku!!!!!
asante kwa kunielewa......
 
Last edited by a moderator:
Ukiwa Chit Chat hakuna rangi utaacha kuona...hivi nikikuambia kuwa huyu Madame B katika maisha ya kawaida ni mke wangu wa ndoa, utaamini au utakataa??...mbona mie mwenye mke nipo kimyaaaa domo nimelitia plastaaa wakati madogoo kina Chilli, tedo Loya na yule Chimbuvu wanaruka samasoti hapa wakati wamevaa misuli...
 
Basi mi niunganishieni kwa huyu mtoa mada, natumiaga hata wa hivyo!!
 
Last edited by a moderator:
Hivi umeona mapendekezo yangu?? Sio kwamba hakuna asiyejua kupenda ila tatizo kueleza unampenda nani na wapi!!
Mbona mie nimempenda ummu kulthum husemi???au kwa kuwa baba mkwe kanyimwa dhamana??
 
Last edited by a moderator:
Na wewe tena unampenda duuh!! Na yule mwenye jina limaloanza na "ch" ASEMEJE?
Sio bure umetumwa stevoh! Madame B waambie watuache CC yetu aah! Wote wanakaribishwa CC tena bila masharti sasa chukisijui inatoka wapi?
 
Last edited by a moderator:
Hapo umenena salute kwa kunielewesha sasa NIMEELEWA
mkuu stevoh ukiona malovee chit chat jua kuwa ni malovee ya kichit chat zaidi na sio reality dats y mods wameziacha huku!!!!!
asante kwa kunielewa......
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom