Carnivora
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,651
- 5,987
- Thread starter
- #41
Hebu some tena uelewe. Wapi nimesema kuwa ni mdogo? Na wala sijamlaumu. Mimi nimeacha mambo yawe kamayalivyo kwa urahisi kabisa. Nimepitia mengi sana najua ninachokifanya. Unadhani hata ningemtambulisha home ndo ingekuwa solution?Ni jambo la kheri ikiwa ameolewa mwenye zimungu awajaalie kila lililo lenye kheri ili aepuke zinaa.
Nachoona hapa ni kuwa unajaribu kulaumu na una kinyongo kuolewa kwake bila kujuwa ulipwaya katika nafasi yako aliyokupa, umesema kuwa dada yake tu ndiyo alikuwa akijuwa akijuwa anakuja kwako.
Je? Unaona ni sawa kuwa na mchumba huku miaka miwili kwao hawakujuwi wewe, kwenu hawamjuwi yeye hapa nazungumzia wazazi sio marafiki.
Toka 2016,upo nae ikiwa yeye ni mwanamke wa kiislamu ulitaka afanye nini anapokuwa anapatwa hisia.... tena unalaumu eti miaka 22 bado mdogo?
Mwisho.... Nampongeza kwa uamuzi aliochukua wa kuolewa na kusitiriwa.
Kuna mengi sikuyaweka hapo. No problem so far.