Story ya kweli

Story ya kweli

Hahaha!!!
Kkuna kipindi ex wangu alikuja na condom tatu... Sasa katika maongezi tukajisahau mpaka akaondoka hatukufanya chochote akaziacha condom... Siku nyingine akaja akaziulizia nikampa moja... Baada ya hapo akahitaji nyingine nikamwambia "sina, ilibaki hiyo tu" weeee asikwambie mtu hasira aliyoipata... Ilibaki sekunde nile makonde... Nikawahi kuzitoa na kumpa [emoji23][emoji23][emoji23]

Anachokifanya huyo dada si kizuri kabisa
Hahaaaaàaaa umenikumbusha mbili saana mapenzi haya acheni

Nakumbuka nilikuwa nazitia alama [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Alama tena? Mbona natamani kusikia zaidi!? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna Dada alikua na mpenz wake mpya.cha kushangaza kila anapokutana nae anakua na condom mpya..na uwa zngne znabaki .mfn anaweza kutumia moja ...tatu zkabaki.anajiulza zile znazobaki uwa zinaenda WAP?mpk anunue mpya.....
Anaweza tumia 1 zikabaki3? Condom gani hizi?
 
Hahaha!!!
Kkuna kipindi ex wangu alikuja na condom tatu... Sasa katika maongezi tukajisahau mpaka akaondoka hatukufanya chochote akaziacha condom... Siku nyingine akaja akaziulizia nikampa moja... Baada ya hapo akahitaji nyingine nikamwambia "sina, ilibaki hiyo tu" weeee asikwambie mtu hasira aliyoipata... Ilibaki sekunde nile makonde... Nikawahi kuzitoa na kumpa [emoji23][emoji23][emoji23]

Anachokifanya huyo dada si kizuri kabisa
Hizi condoms mnazozitamka hapa kwa mbwembwe mkiwa kwenye mahusiano mnazivaa kweli?
 
Back
Top Bottom