Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
Ahsante kwa utamu mujarabu kabisa. Wish u happy Easter na karibu sana.
Asante friendAhsante kwa utamu mujarabu kabisa. Wish u happy Easter na karibu sana.
Barida Mwanaa! Ubarikiwe kwa support!Pamoja sana money penny
Unataka niweke miti na mitarimbo tuuu na kusutanaaa na kuchambanaaa au?!Thanks money penny, ushauri wangu ila sikupangii najua story yako, bundle lako, muda wako ila mapenzi yako kwetu ni makubwa sana barikiwa sana!
Story inayokuja iwe na ladha tofauti kidogo tafadhali bi dada ni mtazamo tu!
CHAPTER 5
K ... THE STORM IS OVER
NAWATAKIA SIKUKUU NJEMA YA PASAKA
HERI YA PASAKA WANA JAMII FORUM WOTEE
XOXO
MONEY PENNY!
CHAPTER 5
K ... THE STORM IS OVER
Amina akampanga vizuri Fish kwa ajili ya kumkamata, akawaita kabisa akina Tamia na Orijinal na Mkuu jamaaa mwizi wenu lep mnakamataa ma hivi nimemweka sawa nimem seduceee nimemnyeshaaa kama samsoni wa kwenye bibliaaa gademit yupo lainiii na kesho pia ni sikukuuu fanyeni kupanda tu huku mje mchukue chenu tukaishi as if ni rahisi
Mijeda ikapanda ila akina sande na khadija wakabakia na mkuuu... akina Kelis na ujauzito na uzazi wa akina Irene na Hi hoe basi tena wakaamua wapande 10 wakiwepo akina Orijinal na Tamia na watu wengine wakali 8
Kule si kuna watu 100 wamekaa zaidi ya miezi 6 so washaandaliwa makaooo
Huku nyuma mimba ya Kelis imekuaaaa, miezi 6 sasa mwenyewe ana shine ana glow balaaa ni raha mustarehesho! Papaa anamwangalia hadi raha ka Kelis kamefura usoni kweli mimba ya kwanza sio mchezo gademit
Eddie akampandia hewani Piere, mwana mwana natala nifanye mambo amaizing kidogo mambo ya surprise na nini kwa Hi Hoe kama hautojali uwe best man wangu si unajua tena mambo ya katoliki yalivyo makavu,
Piere: akakubali no sweat bruh me ntaongea na mke wangu amber tuje kukulindia
Eddie: ni tafrija ndogo tu ya watu 10 wala usinwambie mtu kabisa ni surprise
Hi hoe akamsikia Eddie anaongea akaona hapa siwezi mess up tena maana Mkuu ataniuaaa akampandia hewani mkuu na kumwalika baada ya kusikia maelezo ya Eddie na surprise wedding,
Mkuu: uwe na amani Hi Hoe nikiweza ntakuja nisipoweza unisamehe maana na monitor vbaya mno ile mishe wameiendea akina Tamia na Original
Upcountry tuwaombee tu tafadhali maana ni ngumu ikatokea tutampata Fish tutakuwa tumekamata mengi sana
Wakaongea hapo wakaagana
Baada ya simu 3 Eddie akamwambia mke wake anakuja kukuchukua Amber upendeze uje na watoto tunaenda kwa photoshoot uje na watoto Plz
Hi joe akafekisha sawa akavaa na nguo nyeupe kabisaa na yale maua yetu yale meupeee ya kichwaniii, kapendeza mwenyewe mpaka Amber anamshangaa
Wakaanguka St. PETERS mojaaa ndoa ikafungwa wapo 7 tuuuu,wao maharusi na wasimamizi wao na watoto wao mapacha na maid wa watoto, watoto wakabatizwa hapo hapo kitu double double
Wakaangula ukumbini double tree holl by hilton, kufika weee akina Kelis haooooo wanawapigia makofi akina Irene akina Khadijaaa ila sande hakuwepo kabisaa hakuelewa Khadija amefikaje pale na ataondokaje, wakashangaa what a surprize man! Basi ndo ivyo msosi msosini, na kucheza kidogo si unajua sherehe zetu za kidhungu dhungu hamna zile chachacha kama za useazi kwetu, hehehe ni rahaa kidogo tu unarudi kukaa ki classic zaidi baby!
Saa 4 usiku maharusi wakabakia pale hotelini, maid akaondoka na watoto wa Hi hoe na Khadija wakaenda kukaa kwa Mkuu, wiki nzima mpaka Hi Hoe na Eddi, sorry Mr and Mrs Eddie walipotoka Honey moon uzuri watoto waliachishwa maziwa ya kifua muda, sada eddie atanyonya wapi kama watoto mpaka kesho wananyonya, mambo ya kutengeneza malapa vepee!
Changudoa malaya kubuhu nalo limeolewa limedondosha mapacha watamu kinyama
Wana uptown funk buana nao wakaskia habari kuwa Hi Hoe kaolewa na Eddie wakafurahi sana
Wakawaza ivi zamu yetu lini wakaendelea kuwa focused na huyo fish bin samaki
Wakaplan siku ya kumvamiiaaa na hudu dar mkuu alishatonywaaaa kuwa mzazi tunapandia hema ya pilato maombi yako tukirudi shwari tusiporudi basi buana tutaonana peponi kama sio Mbinguni
Mkuu: kila la kheri sana wandugu zangu wanangu Mungu yupo pamoja nanyi
Mijeda ikaanza kazi, wakaingia nyumbani mwa fish wakapigana kikomandoo ki silent gademit, uzuri wa vita bora mpande usiku mkipanda mchana mnaharibuuu, mpande manane ili pawakunjie vyemaaa, kama kawa makomando yoso yakatia timu usiku wa manane usingizi umenogaje na mechi hazipigwi tenaaa, hapo washateketeza walinzi wote surveillance tupa kuleee mzee fish kalala anakoroma mrembo amina anajua leo paka anafungwa kamba shingoni muda wowote anapigwa chini!
Saa 7 watu kimyaaa
Saaa 8 usiku watu kimyaaa
Saa 9 usiku akaona mwanga kwa nje akajua mambo tayari
Saa 9 nanusu usiku mijeda wakaingia chumbani kwa fish, hands up and them kinds, mwe mwe mwe! Fish alivyozinduka alisahau kuwa kuna Amina pembeni akimpa bonge la konde la usoni Amina akawa anashkilia maumivu, Fish break ya kwanza ni bunduki ilio chini ya mto wake nae anarudisha paaaaa paaa paaa na akina Tamia nao paaa paaa paaa Fish akaona anazidiwa nguvu akamvuta Amina ambae alikuwa anaponea lile konde, akamwegea mguu wa kuku usoni, anaelekea akina Orijinal na Tamia walipo, gademit anakomaa msipoweka bunduki zenu chini namwua Amina, amina anajiliza pale si unajua tena mission impossible lazima ukae upande wa adui, Fish akatoka
Kuelekea library yake ambapo kuna mlango wa siri anaingia unamshusha mpaka nje anaingia kwenye gari anaondokaaa
Akafanya hivyo na Amina asiyejua kupigana ameshikiliwa kama njiwa ni sheedah!
Akina orijinal na team yake wamtanda jumba lote la Fish ni movie isio na mwishoooo
Fish akashuka kwa mafanikio, mpaka kwenye gari akawasha motocar yake akaondoka na amina akina Orijinal sasa ho wanafukuzia na risasi Fish akapewa ya mkono midamu sasa inamwagikaje, mkono unauma anamwambia Amina endesha me nishambulieee,
Amina anakataaje labda akafanya kama alivyoambiwa huku fish anawashambulia akina Orijinal hola hola mpaka wakafika mbele sasa kuna tren inapita hizi treni zetu hizi anatakiwa adandie ili mbele kuna mtu anamsubiria, wakadandia hao na amina wakajua wamepona kumbe akina Orijinal na Tamia haoo walishadaka behewa la nyuma
Treni ikawa inasafiri weeeeee akina Tamia wakasogea mpaka kuwakuta akina Fish, fish kuwaona nini anatoa risasi kumbe zimeisha, mara Treni ikasimama ghafla hapo saa 11 alfajiri, mbele mapolisi kibaooo, ngumi zikawakaje sass hapo kati ya Orijinal na Fish, puuum puuum Fish nae anazo nguvu jaman na kupigwa risasi kote kule badp kaweza kumrushia makonde Orijinal
Amina ameshikiliwa na Tamia analia tu amina anajua Fish bas uhuru wake on fleek,
Wakati huo wasafiri wanashangaa vepe mbona mapolisi kunani palee?! Katika shangaa shangaa mtaa wa 3 watu zinalika ngumi, mapolisi wakaingia kila behewa kupata msako wa Fish
Fisha akatoa kisu akaanza kumtishia Orijinal, wah wah wah wah holaa Orijinal nae
Sijui kasomea judo me hata sijui,
Basi buana, mapolisi wakaingia behewa la akina orijinal na Fish, mikono juu mikono juu, orijinal alikuwa amewapa mgongo mapolisi akageuka akasahau kuwa a a binduki nyuma ya suruali yake, Fish akaichukua fastaaa akamnyooshea orijinal, si unajua ma jesusi walivyo hawana msamaha kwenye silaha, ile anataka kuiwasha ampige nao Orijinal akimbie, Tamia akasema Orijinaaaaaaaaaal, orijinal akalala chini risasi ikatoka ikaenda kumpiga Amina kifuani upande wa kushoto du!
Fish hakutegemea akaganda kama ameduwaaa Orijinal akamwibukia akampiga makonde kibao mara mapolisi wakaja kumchukua Fish wakaondoka nae, Orijinal kwenda kumkimbilia Tamia maana alijua Tamia ndo kadhurika kumbe ni Amina
Tamia: amina mama amka jaman usinifie jikaze plz watoto wako watalelewa na nani sasa jitahidi
Amina anataka kuongea anashindwaaaa, Tamia anamwambia usiongee we Orijinal kalete gari tumkimbize hospital, hapo saa 12 asbh na wasafiri washajaa wanashangaa maiti inapumuaaa
Amina: anajitahidi kuongea sijui hawamsikii akaishia kumwambia Orijinal, fish wapo twins,
Tamia: amina usiongee nguvu zinaisha
Amina: Fish are twins!
Orijinal na Tamia wakaskia lakini hawakuelewa, wakaondoka na Amina haooo kusafiri na wewe kuelekea hospital Amina akamwangalia tu Tamia, madam yanamtoka kwakweli amejitahidi hata hivyo, mpaka wanafika Hospital Amina was dead and gone, kushnehi, barabara chee!
Ah Tamia aliliaje akatamani iwe ni yeye, saaa 4 asbh ikaja helkopta 2 akashuka Mkuu na watu wa maiti moja ikambeba
Fish na mkuu na watu wachache ingine ikabeba maiti ya Amina na akina tamia na orijinal na watu wengine wachahe haooo DAR mojaaa!
Wakiwa kwenye helkopta, Mkuu akamwambia Fish umeua na utafungwaa
Fish: bora mniue maana mkinifunga lazima nitatokaaa watu wako wana njaa sana na mimi bado naweza tengeneza opereshen yangu nikiwa hai bora tu mniueee!
Mkuu akapiga ngumi Fish akaanguka huku anacheka
Upande wa 2 wa helkopta Orijinal akawa amemkumbatia Tamia ambae alionekana analia sana akiiangalia maiti ya Amina
Kufika sande akatokea anajua anakuja kumpokea amina akiwa hai kumbe amekufaaa wee aliliaaaa alisahau kuwa alimchukia Amina alilia kama ng'ombe anayechinjwaaa! Ni sheedah! Khadija anamshangaa tu Sande ikabidi awe anambembeleza maiti hiyooo inapita
Sande akaenda kumvamia fish anamsambazia mangumije sasa, mapolisi wakamshika dogo tulia hii kesi yako imeisha
Sande: we umeniulia mke wangu nani sasa atawalea watoto wangu?! Piga piga na wewe Fish yupo tu anacheka cheka mwenyewe kama zombie!
Wakaondoka haoo kila mtu ofisini kwa mkuu
Mkuu akafuta kesi ya sande kuwa ni raia huru anaweza endelea na maisha lakini watamfuatilia kama ataendeleza uhalifu wake
Mzungu alishapelekwaga kwaooo akiwa chini ya ulinzi akafungwa kwao ulaya
Khadija akapata freedom yake ya maisha na mumewe sande, wakamzika amina makaburi yetu ya kinondoni, wafanyakazi wenzake wa bank wamejaaje sasa hawajui ilikuwaje mpaka amina aliuawa
Watoto wa Amina wanalia mbovu jaman mommy mommy wake uppp daddy daddy mommy is gone tunafanyaje sasa
Wanalia watoto huruma basi sande ni kumbeba mmoja Khadija anabeba mwengine na kubembeleza
Msiba ukaisha, wakabakia matanga, wanaomboleza amina
Fish amekataa kutaja network yake bado anaendelea kusema mkinifunga jela mmekosea bora mniue tu basi wakamnyonga wwhuuuuu! FISH kwaheeeriii akina Sande na Khadija na Hi Hoe na Tamia na orijinal walikuwepo kushuhudia kunyongwa kwa Fish
Waliporudi nyumbani, Tamia akamwuliza Orijinal kabla Amina kufa alisema kuhusu twin, na kule makaburini i swear nimeona mtu kama fish, ila alivaa miwani meusi sana na kofia na koti kubwaaaa! Nikataka kwenda akanizuia Khadija maana alinikabidhi mtoto wake nimshikie yeye alikuwa anamwagia mchangaa!
Orijinal macho yakamtoka may ndicho amina alitaka kutueleza ina maana hii mission haitaisha leo yeleuuuei tupo hatarini
Wakaenda kumwelezea Mkuu, mkuu akawaambia nyie endeleeni na maisha kama mnataka kuendelea na kesi ina maana maisha yenu yanasimama.. wakakubali waendelee na maisha lakini kazi wanafanya kama kawa
Baada ya siku 80 na 40 ya Amina kuisha, Tamia na Orijinal wakafunga ndoa ya kiserikali, sherehe ya eatu 15 tu na mkuu akiwepo, kelis na mumewe wakiwepoo, Irene na Mutashobya walikuwepo, Hi Hoe na Eddie walikuwepo, Piere na Amber walikuwepo, Sande na Khadija walikuwepoo na baadhi ya watoto wa danguroni walikuwepoo finally Tamia akaolewa akiwa na mimba ya miezi 3, long suffering had paid off kwa Tamia
Sande na Khadija wanaishi Ulaya na watoto wao 4, Khadija alikuja kupata watoto 2, waliamua kuondoka nchini baada ya kujua Fish
Ana pacha wake na muda wowote watauawa
Kelis na Papaa Mapenee wanaishi Ghana, wana watoto 2 wakike na kiume
Hi hoe na Eddie wanaishi canada na watoto wao 3, waliongeza mmoja akaja wa kiume
Irene na Mutashobya wanaishi Middle East, wana watoto 2 wote wakiumee, wazazi wake Irene wanaendaga uarabuni kusalimia mara kwa mara, Irene kawatoa nuksi wazazi wake, Mama yake na Mutashobya alifariki miaka 2 mbele na hiyo ilimpa sababu Mutashobya kutoendelea kuishi Tz, si unajua tena mtoto wa mama.. hehe
Piere na Amber walihamia Botswana, watoto wale wale 3
Tamia na Orijinal wanaishi Russia, wana watoto 3, wakike 1 wakiume mapacha 2 identical, Tamia aliolewa na miaka 49, aliwazaa watoto wake akiwa na umri wa miaka 50 na 53 kawaidaa hamna cha scissor wala mkasi,
Side chics finallu walipata their happy endings!
THE END
PART 2 YA SIDE CHIC VS MAIN CHIC ITAKUJA KWA NJIA YA KITABU, DEC 2017 GOD WILLING.
HII STORI NI NDEFU SANA, HATA VITABU 3 VYA PAGE 1500 KILA KITABU VITATOKA
ASANTENI SANA KWA SUPPORT YENU NA KUNIUNGA MKONO KUSOMA STORI YANGU, KAMA UMEJIFUNZA KITU AU VITU MUNGU A(WA)KUBARIKI
STORI INAYOFUATA:
ON MY HIGH HORSE!
NITAIWEKA HAPA JF AU KWENYE WEBSITE YANGU MPYA SOON NITAITANGAZA MJE KULE KUNA STORI ZA KIDHUNGU A KISWAHILI .. NITALETA
MAY 7TH GOD WILLING, STAY TUNED
BADO NAENDELEA NA MISAADA TUTANI ILA NGOJA KWANZA PASAKA IISHE
NAWATAKIA SIKUKUU NJEMA YA PASAKA
HERI YA PASAKA WANA JAMII FORUM WOTEE
XOXO
MONEY PENNY!
Ahahahaha.. aya boss asnate sanaChokambovu na money penny wedding is on the way. MP still waiting for ya. Si kwa utamu huu
Ahahahaha.. aya boss asnate sana
Kitabu itakuwa nzuri sana maana naweka OG storii hii nimechakachuaaa[/QUOTE
Tina kisubiria
Nani huyo mama kijacho?!Asante mam kijacho kwa story
Amina wajinaubarikiwe sana
Wewe hapo papaa mapenee alikuacha kweli?Nani huyo mama kijacho?!
MhMkuje na huku
Ficus nzalendo JembePoli JembePoli ganja gal Daby Bonny Jr Massawe Nyagei maurice bernad Dr.adams faida Kumburian nderingosha Jodeo Vin Diesel Kumburian nelly poul cosa nostra avic town mesy miss chagga miss charming miss confidence Miss Bantu valuablecock HUNIJUI SIKUJUI HUNIJUI mesy GodfreyTajiri Clueless14 AKILI TATU TheGreatGenius thegreatfusilli katoto kapya PlayBoyMwema Playboy Valentina Eli79 BOMBAY nzalendo Madam Mwajuma Madam Koku prof kisambuka njiwa njiwaji therealdeal sab the accountant The End.. Castr Losin fesee gustavoo torvic Polmo STRATON MZEE StraTon MemPhis GhaZar momo2 bullar Paprika mesy dumejm Mamamkwe MamaMtoi Amadoli Hute flulanga Mlaleo espy joshydama sudi mdiddy robat lameck Root mwekundu Malingumu Ushimen kisuchangu1991 Otorong'ong'o Saint Ivuga mshamu matage yuclighty Satuuuu juan moses Borderlandz lazalaza everlenk Jodeo Selwa McDonaldJr bibliography nguvumali Nivea amu MadameX MankaM Smile juan moses JUAN MANUEL Lexus SUV Lakshmii asigwa sanjally1 jrsanga WABALLA Inc njiwa Billie Mwanamayu gwijimimi TANZANIA HAINA MWENYEWE Tanzania Nchi Yetu Sote Capslock Amadoli Hute Mama Amour Mtoto halali na hela mtoto matataa Mtoto mkubwa robat lameck Robato WILLY GAMBA shedede Good People
Bro! Au umenichanganya na Lara 1Wewe hapo papaa mapenee alikuacha kweli?
Itakuwa maana nilitekwa akili haijakaa sawaBro! Au umenichanganya na Lara 1
NaonaaItakuwa maana nilitekwa akili haijakaa sawa
Lini nyingine hadith maana zilikuwa zinanipandisha mzuka kama na soma watoto walivyo kuwa wanapigwa madusheeNaonaa