CHOKAMBOVU
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 856
- 584
Maserati asante kwa ushauriJamani ambao hatujatahiriwa wengi humu. PM achana na watu wa sina hiyo endelea na kile unachoamini unaweza kukifanya.
Are you sure with what you wrote? Ndugu usipende kufatilia migogoro ya watu hujui ugomvi umeanzia wapi na kwa nini! again acha kabisa hujui ugomvi wa watu umeanzia wapi na kama una kiherehere we jitahidi tuu mapema ukabiliane na udhaifu wako.Achana nae buana Penny,uncircumcised baboon huyo..kwani hujui kma watu wengine wana vurugwa na maisha huko nje wanakuja kutibua mood za watu jf?
Kazi njema.We kakojoe ukalale usituharibie raha yetu hautakiwi hapa haupendwi unachafua hewa kakae na shetan. . Binadamu hatukupendi.. boy bye
Muwe waelewa jamani .. Utakopije stori nzima mbona .... Una maoni andika tu ama kopy chochote anachojibu watu sio stori nzima watu tunakuja tunajua kashaeka kitu kumbe mtu umekopi ... Sio ustaarabu ... Ni maoni samahani kama ukikwazikaKUWA MBUNIFU HIVI VISTORI HAVINA MAANA
Kwahyo kumbe wewe Una mgogoro na Money Penny??? Kama Mna personal ishu ungemfuata Pm tunaofuatilia hii story tupo wengi and as a die hard funny lazima nikuambie,unapoona cha nini wenzio tunaisubiria kwa hamu ataiweka saa ngapi. ShubastiAre you sure with what you wrote? Ndugu usipende kufatilia migogoro ya watu hujui ugomvi umeanzia wapi na kwa nini! again acha kabisa hujui ugomvi wa watu umeanzia wapi na kama una kiherehere we jitahidi tuu mapema ukabiliane na udhaifu wako.
Halafu sijui umetoka wapi kwani ungeendelea na ulichokifata kwenye huu uzi ungepungukiwa nini?
Umeona amejibu?
Acha kabisa.
Nakutakia usiku mwema sitak ugomvi na mtu kabisa.
nimequote nini kinachokupa tabu wewe ??Usiquote hivo mkuu. Wenye simu tunapata taabu sana aisee
bila shakaMuwe waelewa jamani .. Utakopije stori nzima mbona .... Una maoni andika tu ama kopy chochote anachojibu watu sio stori nzima watu tunakuja tunajua kashaeka kitu kumbe mtu umekopi ... Sio ustaarabu ... Ni maoni samahani kama ukikwazika
Ndugu naomb nikutoe hofu kwa hilo.Kwahyo kumbe wewe Una mgogoro na Money Penny??? Kama Mna personal ishu ungemfuata Pm tunaofuatilia hii story tupo wengi and as a die hard funny lazima nikuambie,unapoona cha nini wenzio tunaisubiria kwa hamu ataiweka saa ngapi. Shubasti
Kiherehere kwa mtoto wa kike Kama mie jamii haitoshangaa,kuwa na kiherehere wewe sasa uone watu watakavyoanza kukuita majina ya ajabu kina James delicious. BTW yule demu alieku exasperate, ulipata soln au Ndio unamdandia kila unaekutana nae mbele yako Ili umalize hasira zako???
Yap...then nikasepaTumechat wap?!
Au whatsapp ya money penny?!
Hewaaah, hiyohiyo.Ahahhahaa
Ipi?! Ile waliokuwa wanakulana utamu na baba Gigi au?!