Wakati mzuri wa kutafuta mpenzi ndio huu,anayeweza kuvumilia na atakaye kuboost uwe zaid ya hapo.atakaye acha legacy
Namaanisha unatufahamu namna gani?out of JF wapo shazi!
Nami nashangaa. [emoji46]Jamani viatu bei gani hadi mnamkazania mwenzenu eti auze anunue kitanda?
Waswahili ndio tulivyo, hatukosagi cha kukosoa.Jamani viatu bei gani hadi mnamkazania mwenzenu eti auze anunue kitanda?
Waswahili tuna shida sanaWaswahili ndio tulivyo, hatukosagi cha kukosoa.
hamna namnaNamaanisha unatufahamu namna gani?
Kakojoe ulalehamna namna
wewe umeshakojoa? tulale wote!Kakojoe ulale
Jamani sasa kuna viatu hapo au munakitu kingine munatafta kwa kijana wawatu ivyo viatu vyote ni vya soko la karume namba ndogo bei ni 7000 mpk 10000 vyote avifiki laki moja sasa mlivyo vishadadia dah!!!!!Hivo viatu ungenunua vitanda viwili mpaka sasa
Acha kutulisha matango pori akuna mtu mwenye uwezo anaanzaga ivyo hizo story za juma na uledi peleka kwa wenzio!!!!Bro usijali nimeanza kama wewe thou uwezo nilikuwa nao ila nimeanza ivyo ivyo
Umenishinda pair za viatu tu
Usikate tamaa nakupa miezi mi 4 au 5 lazima kuwe kumebadilika kma unataka mabadiliko
Ushauri murua kabsaUsisahau kununua Chandarua mkuu, unapoanza kupambana na maisha hutakiwi kuumwa.
Alaaa!!!Kakojoe ulale