Story nzuri ya kusisimua iliyompata dada yangu

Story nzuri ya kusisimua iliyompata dada yangu

kwa hiyo kwenda kwake usiku ndio sababu atake kumbaka? we kenge unatetea ubakaji? au na wewe ni mbakaji
Kuna haja ya kuniita kenge kweli..unajua tunauelewa tofauti wa mambo mimi nimesoma nimetoka na hiyo tafsiri..kama unaona natetea ubakaji hiyo ni yako
 
Circumstantial evidence here amounts to consent(implied),hence no rape or atttempt to rape aache kujishaua hapa
mkuu mm sijui sheria...ila mahakama ya jamii ikifikiria kwa undani kuna mazingira ya kutatanisha ya sitaki nataka
 
Circumstantial evidence
here amounts to consent(implied),hence no rape or atttempt to rape aache
kujishaua hapa

Mama yako, Mkeo, Dada yako, Binti yako ajikute kwenye mazingira kama hayo, akataka kufanyiwa hayo, utaconclude hivyo pia?
 
Mama yako, Mkeo, Dada yako, Binti yako ajikute kwenye mazingira kama hayo, akataka kufanyiwa hayo, utaconclude hivyo pia?
Mkuu punguza jazba..ukifundua mdogo wako wa kike (juu ya miaka 18) au dada yako..anaitiwa biscuti na soda usiku anajipeleka tu..utafanyaje..?! Alafu anasema njaa ni kali ndo maana akaenda utafanyaje..? huoni mtu kusema njaa ilikuwa kali unafuata soda na biscuti ni tamaa...?!! au ulikuwa chini ya miaka 18..?!!
 
kwa hiyo kwenda kwake usiku ndio sababu atake kumbaka? we kenge unatetea ubakaji? au na wewe ni mbakaji

Huyu dada hakutaka kubakwa . Alibakwa sema jamaa hakumaliza shughuli au haku .joa ndani ndipo mdada akafanikiwa kuchoropoka. Na ndio maana akaendelea kumchukua yule mjeda miaka na miaka . Fundisho ....kupenda vya bure ni hatari . Pia hakuna kitu cha bure duniani. ....sasa ona mtu mzima unabakwa kwa sababu ya biskuti. Je ikiwa chipsi kuku si ndio ataolewa kabisa bila mahali
 
Naungana na Mtimawazo "kuita mbegu za kiume uchafu ni tusi na dharau kubwa!". Inamaana binadam tunatokana na uchafu? You mean wanaume tunatembea tumebeba mauchafu? Dah hii sio kabisa labda nielekezwe vzr sababu ya kuita hivo?
 
Ukiona manyoya ujue kaliwa. Pole kwa kutoa papuch kwa sababu ya soda na biscut. Bora ungefuata hii
 
Hivi dada kweli wewe ni muandishi wa habari? Mbona uandishi wako unanitia mashaka?
 
Mkuu punguza jazba..ukifundua mdogo wako wa kike (juu ya miaka 18) au dada yako..anaitiwa biscuti na soda usiku anajipeleka tu..utafanyaje..?! Alafu anasema njaa ni kali ndo maana akaenda utafanyaje..? huoni mtu kusema njaa ilikuwa kali unafuata soda na biscuti ni tamaa...?!! au ulikuwa chini ya miaka 18..?!!

alifuata soda, sio mapenzi,, acheni kutetea ubakaji nyie
 
Naungana na Mtimawazo "kuita mbegu za kiume uchafu ni tusi na dharau kubwa!". Inamaana binadam tunatokana na uchafu? You mean wanaume tunatembea tumebeba mauchafu? Dah hii sio kabisa labda nielekezwe vzr sababu ya kuita hivo?

ana maanisha za huyo mbakaji sio za wanaume wote
 
Pole sana dada, najaribu kuvaa viatu vyako mwili wote una sisimka, manake mimi hata mwanaume akinitongoza alafu nikawa sina feelings nae huwa sitaki hata aniguse mkono mana huwa najihisi vibaya mno. Ila tu kidogo nimehisi kukulaumu kwa kukubali kwenda kwenye huo mualiko wakati ulijua kabisa tabia za hao watu, hapo ni lazma tu ulijua kwamba he was after you sema hukutegemea angetumia nguvu
 
alifuata soda, sio mapenzi,, acheni kutetea ubakaji nyie
Mbona unataka kufanya watu wajinga ..kwa nini afate soda na biscuti usiku kwa afande..angekuwa amemlazimisha njoo usiku kwa kuogopa akaenda..hapo afande hata kunyogwa angenyogwa..lkn ni sawa na mtu mzima katongozwa na mshkaji labda anakaa kigambini..bint kalipa nauli amepanda pantoni kuvuka , kapanda basi, anamfuata jamaa na anajua jamaa anakaa mwenyewe ..kafika kule anasema jamaa kamuongizia kwa nguvu..yeye alikuwa hamtaki..basi wanasheria wana kazi sana
 
Back
Top Bottom