Jioni usinipite...Hili movie steeling ni Pastor mwenyewe. Kuna genge la wahuni anatakiwa kulimaliza pastor. PAPAA hana u-pastor wowote, ni special task huyo. Ni kama MI6 huku kwetu..
Hadi Aloyce hatakua Salama mwisho wa hili Picha.
Honey Money Penny hii ya 3sum ungeipost mida ya wanga! Hata hivyo umefanya vema kuitupia mchana maana 3sum yenyewe ilipigwa mchana kweupe tena kanisani.