Story: Kwanini Upo Single?!

Oa wewe
Wazazi wako wasingeoana usingezaliwa

Soma page ya 6 usikie Koku anavyoliamsha dude
 
Mi niko single kwasababu nikisha kula utam naona zile kelele za nitumie hela zinanikera so natia block nazichanga pesa kwanza zikijaa narudi circle kwa dem mpyaaa
No Man is an Island
Utaenda mpaka 40 kumbe kumeshakucha utakufa na presha

Soma page no 6 umsikie Koku nae analiamsha
 
Sipo single
Ninazo best 100%
Sijaelewa niambie vizuri niende mbio huko.
Upweke mbaya sana
Nilijalibu kukaa na mwanamke mwezi mmoja tu dah! Kiukwel nilikonda
1.kodi ya meza kila asubuhi msimbazi ,kibato hakikidhi
2.SAA 2 niwe ndani ,kiukwel sio kuku


Mimi nipo single sababu "it's complicated " ngoja niishie hapo tu dadangu
Niko single and unmarried too because sina uwezo wa kuzaa mwanaume mwenye tatizo hilo aje tufarijiane najua yupo single
mkuje mzigo umeshuka page ya 9
 


Ingawa Koku ni anapenda ngono ila ana point kuhusu Mwelu...

Wachungaji mara nyingine ni watu wabaya sana haswa kwa wanawake... Wengine mpaka wanaishiaga kulala na hao hao wachungaji...

Mwelu needs to change...


Cc: mahondaw
 
Ingawa Koku ni anapenda ngono ila ana point kuhusu Mwelu...

Wachungaji mara nyingine ni watu wabaya sana haswa kwa wanawake... Wengine mpaka wanaishiaga kulala na hao hao wachungaji...

Mwelu needs to change...


Cc: mahondaw
Amen brother Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…