Story: Kwanini Upo Single?!

Yani nasubiria maana nimecheka hatari
nasubiria
 
Nilijalibu kukaa na mwanamke mwezi mmoja tu dah! Kiukwel nilikonda
1.kodi ya meza kila asubuhi msimbazi ,kibato hakikidhi
2.SAA 2 niwe ndani ,kiukwel sio kuku
Hahahaha pole
Labda uongee na Koku hapo kwenye hadithi atakuelewa
 

Koku ni Muhaya ndiyo maana anamajivuno na majigambo...

Cc: mahondaw
 
Umenigusa sana, binafsi ni msomi nimehitimu shahada yangu ya kwanza ya Comp sc chuo kikuu dar, miaka mitano nyuma na nakazi serikalin lakin nimekuwa mtu wa kuish maisha ya kuunga unga sana kwa wanawake, na hiyo yote ni kwasbbu ya kuchagua sana, dini ya ukatolik na kabila langu na pia elimu kuanzia dipo
 
Nilisoma shule za uboizini from primary mpaka advance!..
Mara ya kwanza kusoma Na garl nikiwa chuo kikuu!.
Lakin hisia zao Sina kabisa !.
Ninazo nguvu but garl sina
Hichi kitu mm kinanitesa sana, najikuta nakosa sana confidence na magirl...

Kuna demu ashawahi kuja geto kwangu akaleta kaugumu fulan cha kuvua chupi na mm kufosi huwa siwezi..

Baada ya kuondoka kwenye sm na muuliza kwann umeninyima? Kajibu ww ni mwanaume ilibidi utumie uwanaume wako chumban..

 
Hahahahaa hahahahaa
Ukaleta habari za uboizini?!!

Daah kuna manzi nilikuwa naye chuo akawa ananiwekea pozi siyo!.
Sasa kuna siku akaja ghetto

Kufika nikaona anaanza kujifunua funua
Nikasema isiwe taabu nikamfunika Na kumtoa nje!.
Aseeee alishangaa Sanaa!.
Nadhan upumbavu wa garl kuambizana
C akawaambia wenzake daah.
Ikawa kila siku napata ugeni wa garl
 
Honey @Money Penny hukosei!

Ukweli wa mahusiano ya kimapenzi ni kuridhishana kwenye shughuli yenyewe ya kuingiliana (intimacy act). Pesa ni sabuni tu, ama sukari kwenye keki.

Namna gani watu waridhishane kwa kutumia nyenzo walizonazo? Ndio utamu na uhondo wenyewe wa swali lako hili adhimu. Hukosei Honey @Money Penny.

Much love honey
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…