Kwa sababu sijampata wa kuweza kuibadili hii status ya single kwenda double. Bado nangojea wakati wa BWANA.Za Leo
Najua nimepotea sana ila nipo
Swali langu kubwa Kwako kabla sijaendelea na hadithi ni Kwanini Upo single?!
Ndio wewe hapo, naongea name wewe Kwanini Upo single?!
Dada/Kaka Mzuri, unamvuto, uko poa, mchangamfu, mtanashati, unakipato cha Kati, unagari, unakazi, una hela, hauna ajira, unabiashara zako, hauna kazi, unamaisha yako, unaishi Kwako, unaishi kwenu, handsome, gorgeous, Beautiful, wife material, husband material, etc etc
Vyote na quality zone unazo za kutokuwa single... lakini bado upo single
Najua ungetamani kuwa na mji wake, uwe na nyumba yako, maisha flani hivi amazing, unasomesha watoto ukiwa na mwenzako, unalea watoto ukiwa na mwenzako, mnaenda vacation na mwenzako na watoto wenu, mambo ya family goals flan hivi amazing, eh!
Haya mambo ya u single mother yanaboa sana kuwa single kunachosha jamaa, kukalia mitarimbo ya waume za watu kwa kujiiba hayajawahi kumwacha mtu salama na haujui lini utakamatwa na kuwekwa mitandaoni (hewamini) au kuchomwa moto kwa kuiba mume ya mtu, unatamani ukienda kwenye sherehe uende na mpenzi (mwenzi) wako ufurahi, uringishie, unatamani uoe (uolewe) urudishe heshima nyumbani na wewe uringe uwe kwenye chama jomooonii
Sipo hapa kukuhukumu maisha hayafanani na hutoa surprise kwa kila mja wa mola..
Nakuuliza kwa amani na upendo tu
Embu tuambie kwanini upo single?!
Kama hauna hisia na chiu utakuwa na hisia na nini tena kama sio dyudyuNilisoma shule za uboizini from primary mpaka advance!..
Mara ya kwanza kusoma Na garl nikiwa chuo kikuu!.
Lakin hisia zao Sina kabisa !.
Ninazo nguvu but garl sina
Doh pole sanaNipo single cause ubavu wangu/mke mwema mungu hajanipatia ninaowaona wote ni viwavijeshe kwa kupeperusha mali zangu kwa starehe zisizo na maana. Mwisho wa kunukuu
HahahaWengine Walokole...na muda Wa kuoa/kuolewa bado.
haha hahaaAcha kelele,
One night bei gan?
Hahaha a sawaHata sijui kwa nini nipo singo let me think twice
SawaNipo single sababu nimeamua kuwa single.
Girlfriend na Michepuko jeKwa sababu sina mke
SawaKwani kuwa double ndio kuzaa? wangapi wameolewa/wameoa na hawajazaa???
Life is good enjoy now!
Hii story sio ya ndoa ni ya kwanini upo singoMe co muoga ila kla m2 ana aina ya maisha alyochagua. Kla m2 anaona njia yake n sahh ila mungu anaitazama mioyo. Hebu nkuulze ww n sababu ipi inakufanya uolewe / kuoa
Nimepata hitaji la moyoni...
Hongera sanaNi ndani ya mwaka huu nitajitahidi nipate jiko
Bwana unamngojea wa nini?!Kwa
Kwa sababu sijampata wa kuweza kuibadili hii status ya single kwenda double. Bado nangojea wakati wa BWANA.
Ajaribu kuwa na hisia na hao wa ofisini au mtaani kwakoKwahiyo mkuu una hisia na hao uliosoma nao from primary to advance?
Inategemea na umeelewa single ina maana ganHivi mtu unakuwaje single!!!!
Linalokufanya uwe singo? !Nimepata hitaji la moyoni...
Nilikuwa,.sasa siko singo.....au unataka sababu ya mm kuwa singo wakati huo?? Penny...Linalokufanya uwe singo? !