Story: Kwanini Upo Single?!

Zamani nilidhani wewe na Lara1 ni mtu mmoja...

Baada ya kuwafahamu kumbe ni watu waili tofauti kabisa...

Ila Mwelu kafanana na vijitabia vyako...


Cc: mahondaw
Hahaha
Usijali kama ulinifananishaga na Lara1 hata baadae hadithi ikiisha hautanifananisha na Mwelu tena
 
Hahaha
Usijali kama ulinifananishaga na Lara1 hata baadae hadithi ikiisha hautanifananisha na Mwelu tena

Ni vile tu wote mnaanda makala na kuandika hadithi...

Wote akili zenu mnazijua wenyewe...

Wote mnamaneno mengi sana na watukutu...

Ila in other hand, personal wote ni wapole sana...

Kwenye hadithi yako umesema mimi ukimaanisha wewe Money Penny kama ndiyo Mwelu...


Cc: mahondaw
 
Mahusiano yanachosha. nipo likizo japo kuwa muda mwingine na miss vitu flan flan vya kwenye mahusiano.
 
Mimi nikimaanisha mtoa hadithi
Ukimaendelea mbele utaona Mimi amejisema anaitwa Nani

Acha kupanic Bro
Wapole umetupima?!
 
Tazizo ni vizinga shemela ningekuwa nimeoa kitambo tu, yaan nikianza tu kutoka na demu flan anakugeuza ATM ya NMB, na mimi nikiona hivyo navunja ile rekodi ya Bolt aliyoweka kwenye Olmpiki, sina mke na sitaki demu wacha nikomae na vya kununua
Shemela tohara ulipataga ulipokuwa mdogo au?!
 
wa kumuoa sijapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…