Story: Graduates

Just Nana hii nimeipenda dear,umenikumbusha pigo za Money Penny mwanzo uandishi wake ulikuwa kama huu
 
Just Nana usiwe unaacha kunitag kwenye mastori kama haya mi ni mdau namba moja...
Story nzuri Sana haalah
 
[emoji23] vp kuhusu muendelezo wa kule kwa mr.Hacker uncle?
Mr. Hacker tushamalizana nae dear...kapotea kama mvua za dar[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Warda kanivutia asee ......good graduate
 
Story zako ni real bestie au kuna chumvi umeongeza......

But all in all kuna mafunzo vijana na Jamii inapata juu ya maisha ambayo ni fumbo kubwa Sana tumtumini Mungu nasi tutatoboa
 
Story zako ni real bestie au kuna chumvi umeongeza......

But all in all kuna mafunzo vijana na Jamii inapata juu ya maisha ambayo ni fumbo kubwa Sana tumtumini Mungu nasi tutatoboa
Kwa hii ni story tuuu...ila maisha ya wanachuo si yanafahamika ndugu, perhaps inaweza kua na uhalisia, lengo tufurahi na tuelimike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…